Let Love Reign
JF-Expert Member
- Apr 24, 2018
- 613
- 364
Nilikuwa napekua pekua youtube kutafuta wimbo wa kunituliza baada ya Kazi na uchovu wa siku.
Sasa sisi wenye familia, hasa tunaowajali watoto wetu, kazi tunayo maana huko kwenye Tv zetu huko, kuna vurugu za kila aina, na vimbwanga visvyoshikika maana matumaini yetu yalikobaki ni kwenye vipindi vya habari na michezo tu. Vinginevyo utarudi nyumbani na kushangaa unasalimiwa na mtoto shikamoo MASHKOLO ukabaki unaduwaa tu a maswali mashkolo ndio nini tena!
Kwenye gospel tunakokimbiliaga wakija wageni tuwawekee nako siku hizi utata kidogo.
kwa hiyo nikiwa napekua pekua youtube nikakuta wimbo bwana unaitwa Sitaiuza thamani.
Nikajiuliza! Hizi kweli zipo au title tu.?
Nikaangalia, nikarudia tena, nikatafakari, nikakumbuka mbali sana nisikuchoshe ndugu yangu, ukiweza icheki mwenyewe.
Link hiyo hapo chini.