Mziki wa Hip hop, Rap na Bongofleva ulianza kunajisiwa around 2004 na kupoteza kabisa ladha ya ubunifu, vionjo, burudani na elimu kwa jamii.
Aidha wapo waimbaji wa enzi hizo na wapo watayarishaji...
wakuu kuna movie moja ni ya mapenzi ilibamba sana 2012 kama sijakosea
movie ni ya hollywood nafikiri.
ni ya mapenzi lakini humo inahusisha zaid mahusiano kati ya binadamu ambaye ni mwanamke...
Habari JF,
Je, ni aina gani ya mziki unapenda kusikiliza na kama kuna sababu naomba tujuzane kupitia thread hii.
Binafsi napenda kusikiliza mziki wa hip hop kutokana na sababu zifuatazo;
-Mziki wa...
Harmonize katoa wimbo mzuri sana aisee...yani daah Inspiration song kalii kuliko kawaidaa[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Kweli Diamond lazima amuogope japo ni Kinyago...
Huwa naskiliza Sana Radio! Inaweza kutokea for the whole day!! Hasa weekend Coz ndo huwa siwndi kazini!!.. Huwa Sisiki kabisa nyimbo za wasafi zikipigwa! Tuondoe Clouds hyo inajulikana! Vip kuhusu...
Nafahamu jf iko worldwide.
Ninaomba tafsiri ya wimbo huu ulioimbwa kwa lugha ya kinyarwanda.
Wimbo unaitwa Urugero umeimbwa na Butera Knowles.
Here is the attachment:
*SIMULIZI*
*MWANAMKE JINI*
SEHEMU YA 1
Sitausahau mwaka 1978. Nina sababu tatu za kutousahau mwaka huo. Sababu ya kwanza ni kuwa kulitokea vita vya Kagera. Majeshi ya Iddi Amin aliyekuwa Rais...
Binti mmoja ambaye alitokea katika familia masikini alifanikiwa kusoma kwa shida mpaka kufanikiwa kuwa mwanasheria. Alipata kazi nzuri, akiishi katika nyumba nzuri ya kifahari.
Pamoja na maisha...
Kwa wale wafuatiliaji wa move hasa za kizungu kuna clip ya move moja imekuwa ikisambaa kwenye mitandao jina la move hiyo siijui ila inaonekana ni move nzuri.
Clip ya Move hiyo inaonyesha daraja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.