Night club kali bongo

Night club kali bongo

lun

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
666
Reaction score
745
Weekend sasa ni muda wa kupunguza stress taja kiwanja kikali wana Jf wa kujoin!
Nianze na mimi next door music na totoz naweka shida chini!

Taja na wewe ulipo karibuni jf
 
Hichi kipo hai kweli?? habari ya mjini kwa weekend ukiwa jangwani sea breeze uwezi jutia: mona club tbata; elegance club sinza;
 
Nikozangu Lamborghini Manzese muda huu ,najipakulia vyangu tu ,karibu wadau wa Jf
 
Hakuna night club kali kushinda chumbani kwako.
Guatilia utajua
 
havoc - masaki
Weekend sasa ni muda wa kupunguza stress taja kiwanja kikali wana Jf wa kujoin!
Nianze na mimi next door music na totoz naweka shida chini!

Taja na wewe ulipo karibuni jf
 
Dah hela sina,post nayo inatamanisha ngoja niumize kichwa kesho naanzaje!!!!
Jioni njema wakuu muwe na bata zuri.
 
Back
Top Bottom