Has GOT lost the PLOT ?

KeyserSoze

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Messages
2,882
Points
2,000

KeyserSoze

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2014
2,882 2,000
By the way ukitaka uone Episode 03 Zima taa na angalia gizani unless otherwise utaona reflection yako, The Long Night was Sooo Dark utafikiri wanatumia Camera za Kwenye Tecno.... !!!!!

Hii show kwenye vitabu ilisifika kwa Plot lines zenye logic yaani vitu vinafanyika kulingana na logic.., yaani kama the Night King Greenseer, anayeweza kuona future na ana Dragon pia anaweza kufufua wafu, kwanini asingepeleka watu kumi wakiua watu kumi anafufua na kuua, anafufua na kuua ?..., Pili kama anamtaka Bran kwanini asingekuja ghafla peke yake akaleta storm na kuwafanya wasione na kumuua kwa moto ?

Tukiongelea Moto kwanini wasingewasha moto pote ili waone na sio Dothraki kukimbia gizani kama vichaa....

Nadhani Directors kwa kazi nzuri waliofanya nyuma huenda wameharibu na kutotendea haki hii Great Man Made Fictitious Story 

KeyserSoze

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Messages
2,882
Points
2,000

KeyserSoze

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2014
2,882 2,000
They have butchered the Story, ila sio makosa yao sio writers ni producers; mambo ya prophecy, story arcs, plots zote hazina maana tena its a shame, tangia hii story ilivyopita vitabu haina maana tena example wale jamaa hawawezi kuingia kwenye kuingia kwenye maji ila sijui walipata wapi chain ya kuingia kwenye maji na kumvua yule Dragon
 

KeyserSoze

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Messages
2,882
Points
2,000

KeyserSoze

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2014
2,882 2,000
Arya Stark (Maisie Williams)
“It was so unbelievably exciting,” she told Entertainment Weekly. But I immediately thought that everybody would hate it; that Arya doesn’t deserve it. The hardest thing is in any series is when you build up a villain that’s so impossible to defeat and then you defeat them. It has to be intelligently done because otherwise people are like, Well, [the villain] couldn’t have been that bad when some 100-pound girl comes in and stabs him.’ You gotta make it cool. And then I told my boyfriend and he was like, Mmm, should be Jon though really, shouldn’t it?’
 

Forum statistics

Threads 1,366,358
Members 521,454
Posts 33,368,110
Top