Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wakuu,ingawa mimi bado kijana mdogo tu nimekuwa nikivutiwa na muziki wa dansi ule wa zamani uliokuwa ukiporomoshwa na bendi kama Mlimani park, OSS, Juwata,Marquis,Matimila, Bima, Tuncut nk...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kazi inaanza lini au mnapata chaneli za bure huko madishini kwenu
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Dogo ana kipaji cha hali ya juu sana cha kuchekesha. Anafanya classic comedy. Akiendelea kuongeza bidii atafika mbali sana. Tanzania tuna vipaji vingi sana. Big up sana Jaymond unafanya kazi...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Somo tajwa lahusika Unachotakiwa kufanya ni kuisikiliza tu Jumapili njema
0 Reactions
6 Replies
2K Views
CHAUSIKU (1) Ni binti mrembo Chausiku akiwa anavua nguo zake kwenye shamba kubwa la Ndizi pembezoni mwa ziwa Victoria ni ngumu kujua alikua anafanya nini hivyo kwa dhumuni gani labda joto la...
0 Reactions
13 Replies
12K Views
Wadau habari,nisiwachoshe sana,najua kila mpenda michezo haswa ligi yetu pendwa ya mpira wa miguu (Tpl) anayo taarifa ya wachezaji wa Simba a.k.a Omba Omba FC/wazee wa hamsa[emoji112] kupewa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wa Lugha yoyote iwe kiingereza Kiswahili Kiarabu Kireno etc wimbo wa mapenzi ya dhati nataka kumuimbia shemeji yenu. Hizi za kidunia hazina upako na wimbo mmoja tu '' wimbo uliobora nimeshauzoeap'.
0 Reactions
1 Replies
989 Views
0 Reactions
1 Replies
974 Views
Wadau heri ya mwezi mtukufu. Moja kwa moja kwenye mada. Katika pitapita zangu kwenye mitandao account mbalimbali nikagundua kwamba kuna watu kipawa cha kuchekesha wameparamia yaani hawana...
0 Reactions
62 Replies
8K Views
K2ga - Mwezi Mwema (Official Music Video)
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Michael Jackson wanted to live for 150 years. He appointed 12 doctors at home who would daily examine him from hair to toenails. His food was always tested in laboratory before serving. Another 15...
0 Reactions
2 Replies
978 Views
Jana ndo ilikuwa finale ya series ya Game of thrones iliyokuwa inarushwa nHBO. Utabiri wa wengi umekuwa tofauti na hilo ndilo lilifanya GOT kuwa moja ya series tamu sana kutazama kwakuwa ilikuwa...
6 Reactions
26 Replies
6K Views
Wadau naomba kujuzwa hivi ile nyimbo iliyotokaga miaka ya 2000's mwanzoni Sijui kaiimba nani ila ilikuwa maarufu sana hapa nchini haswa sisi wabongo tulikuwa tukiimba. WAJIPENYEKA UNAPATA UWOO...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
KISA KIZURI CHENYE MAFUNZO MKE ALIMKASIRIKIA MAMA_MKWE_WAKE Mke Alisimama Kwenye Meza Ya Chakula Na Kumuacha Mama Mkwe Wake Mzee Kwenye Meza Ya Kula. Mume Naye Alisimama Kwa Mshangao Ili Ajue...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
KISA KIZURI CHENYE MAFUNZO MKE ALIMKASIRIKIA MAMA_MKWE_WAKE Mke Alisimama Kwenye Meza Ya Chakula Na Kumuacha Mama Mkwe Wake Mzee Kwenye Meza Ya Kula. Mume Naye Alisimama Kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimenunua kitabu hiki bei nzuri sana. Ni kitabu cha mtandaoni kwa ku-download kipo Amazon, ni hadithi ya kweli kwa huyu mganda. Bei haizidi elfu saba 7000 za Tanzania. Kwa wale tusiopenda hadithi...
0 Reactions
0 Replies
698 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…