Mimi nimiongoni mwamashabiki wa Diamond platnum, Nafikiri hakuna mtu ambae haujui wimbo wa nitarejea alio mshilikisha Hawa, Ombi langu nakuomba utunge wimbo mwingine ambao umerejea kijijini kuchukua familia yako na unaenda nayo mjini baada ya kufanikiwa, Kiukweli umefanikiwa na hujarudi tena kule kijijini yaani mpaka yule Hawa nae umemtelekeza, Matokeo yake umekutana na wamjini Mala Unataka kulewa, mapenzi basi,moyo wangu, lala salama, mala binadamu wabaya, nakiinglish umejua my number one, nasasa unasema ukimuona, hebu ni pm nikukalibishe kwenye harusi yangu. hongera kijana.
selfish
selfish