Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Nafahamu jf iko worldwide. Ninaomba tafsiri ya wimbo huu ulioimbwa kwa lugha ya kinyarwanda. Wimbo unaitwa Urugero umeimbwa na Butera Knowles. Here is the attachment:
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Wakuu hii series hakika ilisukwa hata haichoshi, nimeianza upya na sasa nipo season 2.. Ambao hamjaiona fanyeni kutafuta!
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu naomba majina ya tv series kali mfano wa Homeland, NIKITA, Blindspot, Designated Survivor, 24hours au Blacklist...
0 Reactions
47 Replies
11K Views
*SIMULIZI* *MWANAMKE JINI* SEHEMU YA 1 Sitausahau mwaka 1978. Nina sababu tatu za kutousahau mwaka huo. Sababu ya kwanza ni kuwa kulitokea vita vya Kagera. Majeshi ya Iddi Amin aliyekuwa Rais...
3 Reactions
34 Replies
16K Views
Binti mmoja ambaye alitokea katika familia masikini alifanikiwa kusoma kwa shida mpaka kufanikiwa kuwa mwanasheria. Alipata kazi nzuri, akiishi katika nyumba nzuri ya kifahari. Pamoja na maisha...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wale wafuatiliaji wa move hasa za kizungu kuna clip ya move moja imekuwa ikisambaa kwenye mitandao jina la move hiyo siijui ila inaonekana ni move nzuri. Clip ya Move hiyo inaonyesha daraja...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Rich Mavoko - Usizuge (Official Music Video)
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, kumekuwa na maelezo na ufafanuzi kadha wa kadha wa namna ya kupakua(download) series kupitia links,website, na applications mbalimbali,kwa bahati mbaya kwangu sijakutana na...
2 Reactions
0 Replies
687 Views
KESHO WATAUANA LIGI KUU Bingwa wa ligi kuu Tanzania bara msimu huu ameshajulikana, sasa hivi vita imehamia bondeni ambako timu zipo kwenye harakati za kuhakikisha zinabaki mwenye ligi kwa ajili...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Otile Brown Ft. Jovial - Zichune (Official Music Video)
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Karibuni katika channel ya uimbaji muziki hapa tutashirikiana kupeana nyimbo nzuri kutoka kwa makundi,ideas mbinu za kukuza uimbaji na muziki wa kikristo/injili/choirs/groups n.k ni imani yetu...
0 Reactions
5 Replies
863 Views
Kwa wale wadau wa series ya Game of thrones iliyodumu kwa miaka takribani minane na kuifanya kuwa video show kubwa zaidi duniani,baada ya episode ya mwisho kumekuwa na maswali juu ya hatima ya Jon...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimekuwa namsikia bw.Steve Nyerere kuwa ni Msanii.Naomba kujua ni msanii wa nini?Kama ni wa Muziki ni nyimbo zipi ametunga? Kama ni Movies je ni movies zipi ameshiriki? Maana ukisikia wasanii...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna wimbo mmoja wa zamani kidogo najaribu kuvuta kumbukumbu ya jina lake bila mafanikio. Ila bahati nzuri ninakumbuka baadhi ya mashairi yake (nadhani unamuhusu kinyonga ama chura-not sure)...
2 Reactions
11 Replies
6K Views
naomba kuuliza hii channel ipo au mpaka wakati wa fiesta mbona bado tunakatwa 3000 lakini haionekani
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Harmonize - Never Give Up (Official Music Video)
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Harmonize yuko vizuri, ila kwenye hii nyimbo yake amekosea sana kuweka hilo tangazo alafu mtu anae tangaza hajui matumizi ya "L" na "R" anasema inshualensi. Yote kwa yote nyimbo ipo poa. Never...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu kwa wale wanaomfahamu mwanamuziki Alikiba Hebu taja wimbo mmoja MZURI kuliko zote alizoimba Na wimbo mmoja MBAYA kuliko zote alizoimba Naanza mimi NZURI: RUN DUNIA MBAYA: HELA twende...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wakuu kwa wale wanamfahamu msanii diamond platnumz Hebu taja ngoma yake moja kali kuliko zote na moja mbaya kuliko zote alizoimba . Mimi naanza MBAYA: IYENA NZURI: UKIMUONA
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Me sio muhenga sana ila naukibali sana muziki wa zamani wa dansi, kwanza hauna makelele sauti zinasikika, vyombo vinasikika na ujumbe upo Wangapi wanakumbuka bendi kama Kilwa Jazz, Dar Jazz...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…