Naomba tafsiri ya kinyarwanda kwenda kiswahili.

Carla

JF-Expert Member
Aug 4, 2012
398
331
Nafahamu jf iko worldwide.
Ninaomba tafsiri ya wimbo huu ulioimbwa kwa lugha ya kinyarwanda.
Wimbo unaitwa Urugero umeimbwa na Butera Knowles.
Here is the attachment:
 
Mi nashukuru kwa kunipa burudani, japo sijaelewa tafsiri yake, umenikumbusha wimbo fulani nimeusahau wa Mary J. Blidge na mwingine ulikuwa wa Jodeci, lakini pia kuna mwingine wa Dru Hill kama sijakosea au Blackstreet. Namaanisha hizo scene zake
 
Jamaa waliwekeza vilivyo kwenye hiyo video. Asante kwa kunikumbusha enzi za Dru Hill na "How deep is your love".
 
Back
Top Bottom