orangutan
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 756
- 775
Kuna wimbo mmoja wa zamani kidogo najaribu kuvuta kumbukumbu ya jina lake bila mafanikio. Ila bahati nzuri ninakumbuka baadhi ya mashairi yake (nadhani unamuhusu kinyonga ama chura-not sure);
"Mbona yeye hana mbawa,
anakula kwa ulimi wakeeeee, sembuse mimi mwanadamuuuu....."
Tafadhali wadau wa miziki mizuri naombeni sana jina la kibao hiki na kimepigwa na mwanamuziki gani. (tukiweza ku-upload hapa jukwaani itakuwa ni vyema sana). Waiting to hear from you!!!!!!!