Taja wimbo mbaya na mzuri wa Diamond

Taja wimbo mbaya na mzuri wa Diamond

dvj nasmiletz

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2018
Posts
2,129
Reaction score
2,311
wakuu kwa wale wanamfahamu msanii diamond platnumz

Hebu taja ngoma yake moja kali kuliko zote na moja mbaya kuliko zote alizoimba
.

Mimi naanza
MBAYA: IYENA
NZURI: UKIMUONA
 
Hii iyena naunga mkono hoja,licha ya video kuwa na hali quality lakini bado audio ni mbovu,
 
Mbaya:- ??
Nzuri:- Nalia na mengi


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
wakuu kwa wale wanamfahamu msanii diamond platnumz

Hebu taja ngoma yake moja kali kuliko zote na moja mbaya kuliko zote alizoimba
.

Mimi naanza
MBAYA: IYENA
NZURI: UKIMUONA
Vice versa is true
 
Diamond hana nyimbo mbaya, Ali kiba ndio ana nyimbo mbaya nyingi, kama hutaki andaa_mana.
 
Si shabiki wa Diamond ila "Ukimuona" huu wimbo mondi alitulia si uandishi wala melody vyote viko poa sana.
 
Back
Top Bottom