The Fate of Jon Snow

The Fate of Jon Snow

kinshwi

Member
Joined
Aug 22, 2016
Posts
50
Reaction score
178
Kwa wale wadau wa series ya Game of thrones iliyodumu kwa miaka takribani minane na kuifanya kuwa video show kubwa zaidi duniani,baada ya episode ya mwisho kumekuwa na maswali juu ya hatima ya Jon Snow, Je baada ya yote aliyofanya alistahili mwisho huo!? Taking the black and not the throne?
 
John Snow baada ya kumuua Danny hakustahili kuishi kabisa ukichukulia kwamba Danny alikuwa na jeshi kubwa linalomtii kufa na kupona! Kwa uhaini huo, nilitegemea jeshi limparue parue John vipande vipande au drogon amuangamize kwa moto! Aliondoka kirahisi sana hakustahili hata hiyo castle black!
 
Hii movie imesha tofauti na novel yenyewe. ila inavyoonekana kutakuwa na movie nyingine yenye mwendelezo wa hapo walipoishi.
 
Back
Top Bottom