Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Werrason ndiyo Bingwa wa Masebene Africa na Dunia. Kwenye Sebene alizopiga hili ndiyo funga kazi, koffi na wenzake wanasubiri sana.
2 Reactions
17 Replies
791 Views
Upande wa tv kama wasafi, crown, trace, mtv kila ukifungua ni nyimbo, bussiness model ya hizi channel ikoje
1 Reactions
3 Replies
344 Views
Vitu vizuri vinavyopendeza ikiwemo milima ya uluguru
1 Reactions
5 Replies
426 Views
Kuna watu unajikuta unawapenda bila sababu yoyote/unconditionally yaani unamkubali tu, basi upande wangu kuna orodha ndefu ya watu wengi ninaowakubali sana kama vile 2Pac, Mohamed Ali, T...
41 Reactions
232 Replies
17K Views
Season 2 sehemu ya 1 Basi baada ya kuwa nimekutana kimwili na tatu, babu aliniuliza eti sikuona mabadiliko mwilini mwangu? Nilibaki kuwaza nisikumbuke jambo lolote lililonitokea wakati tunafanya...
6 Reactions
129 Replies
19K Views
The Video song: WHO AM I? is out now, you may watch it now.
17 Reactions
59 Replies
5K Views
Muda wowote kuanzia sasa kupitia akaunti yao ya youtube kundi la ROSTAM wataachia wimbo wao uitwao “Abdul” ukiwa na dakika 7 zilizoshiba. Kaa mkao wa kula
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu, Jana Netflix walitangaza kwamba movie au animation ya "K Pop Demon Hunters" ndio movie ambayo imeangaliwa zaidi Netflix. Hiyo filamu iliingia sokoni mwezi Juni na kufikia sasa...
0 Reactions
1 Replies
662 Views
Leo kwa heshima kubwa naomba nikupe simulizi ya ndugu watatu kutoka Uingereza ambao walitupatia vionjo matata sana katika nyimbo zao, ni kaka watatu ambao ukiwatazama utaona ni kama hawafahamu...
0 Reactions
2 Replies
847 Views
Huu wimbo umejaa matusi mno sijui hii sanaa ya hawa vijana wa bongo fleva wainaipeleka wapi ni uchafu mtupu hasa verse ya Roma nae maua kaingia mkenge katika huu wimbo wa uchafu. Baba yake na...
19 Reactions
154 Replies
35K Views
They see me rollin' They hatin' Patrollin' and tryna catch me ridin' dirty Tryna catch me ridin' dirty Kwa wale wahenga haya mashairi yanawarudisha mbali sana, miaka ya 2006, ambapo mashairi haya...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Tuwape maua yao South Afrika kipindi kile cha COVID-19 zilidondoka amapiano kila ngoma ilikuwa fire moja kati ya hizo ngoma ilikuwa Jerusalema ya Master KG hili dude lilikuwa habari nyingine...
0 Reactions
2 Replies
489 Views
Kampuni YouTube iliondoa trending video kwenye app Yao sasa trending utaipata kwenye app Yao nyingine inayoitwa YouTube music ambayo imeunganishwa na YouTube yenyewe ukiingia kwenye app Yao...
3 Reactions
1 Replies
294 Views
Wakuu, Nadhani wote tunajua kuwa sasa hivi Bongo FLeva haisikilizwa Tanzania pekee. Kuna watu kutokea pande mbalimbali za dunia wako busy kweli kusikiliza muziki wetu. Nimeona tujikumbushe...
2 Reactions
4 Replies
783 Views
Amani ni Tunda la Haki (Yak. 3:18). Kazi ya haki ni kuleta amani (Isa. 32:17) Pasipo Haki, hakuna Amani. Furaha na upendo ni matunda pacha na amani (Wagalatia 5:22) Mama Kanisa anatutuma kama...
0 Reactions
1 Replies
551 Views
Baada ya kuona kuwa nyumbani kunanichosha jioni ile, nikaamua niende katika baa iliyokuwa mtaa wa nne kutoka katika nyumba niliyokuwa naishi. Pindi nilipowasili katika lango kuu la baa nililakiwa...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…