Mwaka 2010 uliingia kwenye vitabu vya historia ya Bongo Fleva kama moja ya miaka ya kipekee kupitia shindano la Bongo Star Search (BSS).
Ndani ya jukwaa hilo maarufu la kusaka vipaji, alijitokeza...
Habari zenu wanajamvi wenzangu!
Shimmy wenu niko hapa. Leo, nataka tuingie kwenye safari kidogo. Hebu nikuulize kitu, shemeji. Umeshawahi kumpenda mtu kiasi kwamba unajua fika huyu ndiye wako...
Kuna wakati roho yako inahitaji zaidi ya maneno – inahitaji wimbo. Wimbo unaogusa nafsi, unaobeba uzima, unaoinua moyo wako kutoka uchovu wa maisha hadi kwenye faraja ya kiroho. Kama unapenda...
Baadhi ya nyimbo zinakuwa zina capture moments...yaani nyakati Fulani hivi ...na mood ya Taifa au ya walio Wengi wakati huo...
1. Nipe Tano - Daz nundaz..
Huu Wimbo unawakilisha nyakati ..kama...
NI KIPI SIASA IMETUAHIDI? KIFO, UKOMBOZI AU MAPINDUZI?
KUWA SEHEMU YA HISTORIA YA UHURU WA MAPINDUZI YA KISIASA.
KARATA YA MAUAJI ✅
Kwenye ulimwengu wa kibebari dunia haina ukoloni tena wa...
Imekuwa ni tabia ya DSTV kupandisha gharama zao kila kukicha. Juzijuzi kama mtu ulilipia compact ilitakiwa kulipa Tshs.60,000 leo hii malipo ya compact ni Tshs.67,000. Hawa watu wanatuona...
Muandaaji wa matamasha mtanzania au mrundi anaeishi Canada PCK adai miezi ijayo Chris atafanya show kwa Mkapa na tayari ashaongea na management yake na kukubaliana kila kitu venue itakuwa LAKI na...
Wana jamvi leo nawaletea stori ya maisha niliyopitia, harakati za maisha, mapenzi, uonevu fitina na uchawi vyote utavipata hapa, ni true stori, lakini majini ya vijiji na watu nitabadilsha kwa...
Freedom or jail, clips inserted
A baby's bein' born same time a man is murdered
The beginning and end, so far as rap goes
It's only natural, I explain my plateau
And also what defines my name...
Jina langu ni Juma. Miaka mitatu iliyopita, nilikuwa kivuli cha mwanadamu – niliishi mitaani, nilitegemea bangi, heroini, na kila aina ya dawa ya kulevya kupumua. Nilikuwa nimepotea. Nilikuwa...
JF huwa ni moja ya sehemu zangu za kujiburudisha hususani kwa ‘ID’ hii. Kwa kuwa nimepata muda kidogo wa kuandika na tarehe ya leo ni kumbukumbu yangu ya siku ya kuzaliwa, nimeona nianze kuwaletea...
Mimi sio mambo yangu sana haya, ila hii kombolela wanajitahidi sana, Imeweka familia yangu watoto na wife muda wa jioni wanajumuika pamoja
Angalau sahivi hela zangu za kulipia kifurushi haziendi...
UJASUSI, UPELELEZI NA MAPIGANO
1. ULIMWENGU WA WATU WABAYA...4000
2. I WANT TO DIE JUDGE...4000
3. GEREZA LA HAZWA...5000
4. INNOCENT KILLER (THE REVENGE)/ MUUAJI ASIYE NA HATIA...
HAKUNA ALIYE SALAMA
Mtunzi: Robert Heriel
0693322300
Chungu cha 01
Kinu alikuwa ameketi kwenye wheelchair, akitingisha kichwa chake kwa taratibu, udenda ukimtoka mdomoni. Macho yake yalikuwa...
Ina maana Azama mmekosa kabisa movie za maana zinazosisimua, zinazoburudisha na kuelimisha? Fahari haieleweki kichwa na mkia viko wapi, hakuna connection and continuity naona tu wahusika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.