PENZI LA MFUNGWA
Mtunzi : sharobaro la jf
CONTACT : 0765168293
SEHEMU YA KWANZA-01
"Mwizi mwizii mwiziii..", mayowe yalisikika, mayowe amabayo yalisambaa kwa kasi ya ajabu usiku ule, kitendo...
Wakuu,
Ni ukweli usiopingika kuwa Hiphop siku hizi imekuwa ni nyepesi mno tofauti na zamani
Siku hizi bars zimekuwa nyepesi na hata staili ysa kuchana imebadilika mno.
Leo kuna playlists moja...
Niaje wadau
Nimepata ushawishi wa kwenda kuangalia na kucheza huu wimbo remix ya tetema yes 🙂OH MAMA TETEMA by rayvanny,Nora fatehi and Shreya
Kutoka kwenye COMMENTS ZA watu mbalimbali pale mjini...
Binti wa mwanamuziki Chris Brown, Royalty Brown mwenye miaka 11 kwa kushirikiana na Influencer wa mitandaoni Zachery Dereniowski ameamua kumzawadia mwanamama mmoja pamoja gari jipya na pesa...
Season 2 ya IDAIWE MAITI YANGU [emoji736]
Gavin Luca
Katika Idaiwe Maiti Yangu, tulimfahamu Gavin Luca, lakini alibaki kuwa na hali ya kutatanisha. Hatukujua kama alikufa au alifanikiwa kuishi...
Katika karne za enzi zile, zile zamani kabisa, kitu cha thamani kilikuwa ni aidha dhahabu ama silva. Kila himaya ilijivuna kwa wingi wa dhahabu zao, utawala imara na shibe za watu.
Si zaidi ya...
100 Years ni filamu fupi ya majaribio ya kisayansi iliyoandikwa na kuongozwa na John Malkovich na Robert Rodriguez, kwa ushirikiano na kampuni ya vinywaji ya Louis XIII Cognac.
Kilicho cha...
Wakuu naombeni nyimbo za kuabudu za live ziwe za Tanzania, south africa, nigeria na congo kwa mbaali mfano hawa Neema gospel choir na wimbo wao wa wema umenivutia kidgo kutazama.
Nitajie wasanii bongo ambao hujawahi kuwaelewa yaani hata show yake ije na uambiwe uende unapewa posho ya 5000 na kiingilio bure wewe bado hutaenda kwa sababu hawana kipaji wamebebwa Tu na upepo...
NYIMBO ZOTE ZILIZOKO "YOU TUBE"
kwenye account ya (MusicPress) ni Production zangu mwenyewe za Video kwa mikono yangu pia Nyimbo zote kwenye account yangu You Tube (DJ. Don Nalimison) nimegonga...
Je, kuna ukweli wowote kuhusu ndoto zinazojirudia?
Wakuu uzi huu ninaouleta kwenu unahusu mengi kuhusiana na ndoto ikiwemo ndoto za kujirudia pamoja na ndoto zengine tusizozielewa zina maana gani...
Video ya kusisimua inayosambaa mtandaoni imeonesha Tembo mmoja anamkumbatia mwanamke kwa upole huku akimsikiliza akiimba, akionesha wazi jinsi Wanyama wanavyoweza kuungana kihisia na binadamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.