Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Ni rahisi kuziita common confused terminologies ambapo wapo wanaojua tofauti kati yao na huzichanganya kimazoea lakini wapo wanaotumia dhana hizi kwa kuzichanganya pasipo kujua tofauti zao. Hawa...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Namaanisha gereji ambayo Ray c aliitolea Video ya wimbo wake wa Sogea sogea. Moja kati ya video bora kwangu ya muda wote. https://youtu.be/Y-syuomKwdk?si=3aZ6f8Zi5JjWAXrG
0 Reactions
0 Replies
235 Views
wakuu habari ninahitaji katuni ya kirikuu (swahili version) kwa ajili ya watoto hawajawahi kuiona na wameniomba niwaletee. Tafadhali kama kuna mwenye kunisaidia niipate nitashukuru.
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Simulizi; NITAMLEA Mtunzi; Robert Heriel +225693322300 Taikon Publisher Presents Chungu 01. “Kosa lake nini mpaka nimuue mtoto huyu asiye na hatia? Sitaki kuingia kwenye majuto ya kukitoa...
2 Reactions
30 Replies
6K Views
ILIKUWA ni asubuhi chungu kuliko zote nilizopata kuamka. Nilitetemeka na mwili wote ulifukuta kwa maumivu yasiyomithilika, jasho halikuwa mbali namni. Nilihisi utumbo ukijinyongorota ndani kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Malcolm-Jamal Warner, muigizaji maarufu wa Marekani aliyeng’ara kupitia kipindi cha "The Cosby Show," amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 54, Taarifa zinasema Warner alifariki kwa kuzama majini...
0 Reactions
3 Replies
675 Views
Hii n list ya movie za kihindi kwa mtazamo wangu naona ndio Bora kwa muda wote Bollywood hasa kwenye love story kama hutaielewa list yangu unaweza taja na zako zilizo kubamba kwangu movie Bora...
4 Reactions
105 Replies
15K Views
Tujikumbushe movie za Kihindi zilizotubamba enzi hizo. Aishwarya Rai, she is called the most beautiful woman in the world WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUFAHAMISHWA FILAMU HIZI Habari ya weekend...
2 Reactions
454 Replies
178K Views
Kama nilivyowahi kusema Singeli ni art ya vinanda ..hebu cheki watoto walivyoua hapa.
0 Reactions
4 Replies
251 Views
Wadau wa mobile and pc flight games natumaini mkoa poa. Nataka kufahamu kutoka kwenu ni flight games zipi kwako ni bora .tupeane uzoefu. Kwangu mimi kuna 1. Realflight simulator 2. Airline...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Ahitaji kumix sebene na gospo au kuvaa kama muimba singeli, ila muziki flani tulivu wenye ubunifu bil kukimbia nadharia nzima ya uzima https://youtu.be/gtVvOnjovEs?si=c1KaQ_JVY1XQbppI
1 Reactions
3 Replies
378 Views
Salam wakuu, Katika mziki unaonipa comfort na peace of mind ni mziki aina ya riddim au sweet reggae. Ngoma kama comfort zone ya busy signal, wakali wakina morgan heritage, tittus riley, etc hua...
10 Reactions
128 Replies
16K Views
CHAPTER 1 ILIKUWA ni asubuhi tulivu, anga lilifunikwa na mawingu mepesi baada ya wiki nzima ya mvua za vuli . Angalau sasa wakazi wa mji waliweza kutoka majumbani mwao kwenda makazini na maeneo...
3 Reactions
20 Replies
35K Views
https://youtu.be/coIjlWAzRxs?list=RDvhuiaZpvbn0
0 Reactions
0 Replies
125 Views
Kiukweli ukiangalia wale waandishi wa habari unaona kama sasa industry ya habari nchini imevamiwa, moja wanaonyesha hasira za wazi baada ya dogo pateni kuonyesha wazi kujali privacy zake. Jinsi...
10 Reactions
77 Replies
3K Views
Hii ni simulizi ya kijana Musa, kijana ambaye ametafuta kazi kwa miaka mingi bila kupata, katika matembezi yake, Musa anakutana na Bibi ambaye anamshauri aende kuombewa katika kanisa, anakwenda...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
"Mlango wa Ajabu" Katika kijiji cha Mwembeni, kulikuwepo na nyumba moja ya zamani iliyokuwa imejengwa kwa mawe meusi, katikati ya shamba la miembe. Hakuna aliyekaribia nyumba hiyo, hata watoto wa...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Jirani Yangu wa kule Goba Hakuwa Mtu wa Kawaida. Sasa ni miaka miwili imepita, nimehamia na ninaishi kwengine, lakini yale ya kule Goba nayakumbuka vema kana kwamba yametokea jana yake, na huenda...
134 Reactions
3K Replies
752K Views
Simulizi: My Family Sehemu ya kwanza Mtunzi: kijana Masikini UTANGULIZI. Wamakonde tunasema "nnume alage mmahe anyete" Yaani "Mwanaume apambane hadi kukonda ili mwanamke anenepe" Simulizi hii...
9 Reactions
77 Replies
11K Views
Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa. Kabla sijataja kumi bora yangu ya nyimbo za muziki wa Congo (Kinshasa & Brazaville) ni lazima tukubali tu kwamba bado rhumba na dansi ni miziki inayopendwa...
34 Reactions
188 Replies
29K Views
Back
Top Bottom