Wakuu sikutegemea wakongwe hawa wawili wenye medali za kimataifa kutoa song halafu isiwe hitsong.
Naomba niwape pole sana WCB pamoja na fans wao, ni wakati sasa wa kujitafakari hasa ndugu yangu...
Wakuuu nimeusikiliza wimbo wa wcb ft diamond platnumz unaitwa qurantine, naweza kusema ni kama hawa jamaa wameishiwa sana ukiangalia nyimbo zima wamekopi nigeria yaani hii video kila sehemu ni...
Wakuu ifuatayo ni list ya nyimbo 10 zilizo tizamwa zaidi Tanzania mpaka kupitia platform ya Youtube
1.Jeje 23m (Diamond
2.Teamo 12m (Vanny & Messias
3Quarantine 8.5m (WBC
4.Dodo 6.7m (Kiba...
habar wakuu,
Naomba kama kuna mtu atake weza niwekea link au namna yeyote yakupa hizi nyimbo.
1. Mwaka wa tabu wa Ally Choki
2. Tunda RMX wa Mwijuma Mumini
SEHEMU YA 01:
“We binti njoo hapa,” nilikuwa napita kwenye mtaa mmoja kule Temeke, nikaitwa hivyo na mbaba mmoja aliyekaa kwenye benchi la kijana anayeosha viatu, wenyewe mnamuita ‘shuushaina’...
Mtunzi Boniphance Ngumije sehemu ya 01
“Babu…” sauti ya mtoto ilisikia.
“Naam mjukuu wangu.” Ilijibu sauti nzito ya mtu mzee.
Kisha wanaonekana watu wawili wakiwa wameketi kwenye gogo la mti...
Aisee kama wewe ni mpenzi wa kusikiliza redio basi fungulia Choice FM hutojutia.
Ni ngoma juu ya ngoma na watangazaji wake wana Vibe kinoma noma
Kule hakuna siasa wala matangazo ya mara kwa mara...
The exorcist Ni moja kati ya masterpiece iliyotoka miaka y mwanzo ya 70.ila ninapoitazama unaweza kusema ni ya mwaka jana.
Nilichojifunza kwenye hiyo filamu ni kwamba
1. Sayansi haiwezi kutatua...
Nimependa mashairi, hakuna kulambalamba watu. Kijana kayapanga masishairi balaa. Sio kama ngoma za kina chuchu zimechuja hata kabla hazija tumika. Link hii hapa, kula mzigo mnono huo kwa majivuno...
Hii aina ya mziki ni ovyo sana!
Haifundishi jamii zaidi inaharibu.Wasanii wengi wa huu muziki mwanzoni walikuwa wapiga roba na waliza watu tu.
Uchezaji wake wa hovyo yaani ni vurugu.Inakuwa si...
Leo ktk pita pita zangu WhatsApp status video nikamwona cousin wangu kaweka wimbo huu wa wanamziki wa Gospel wanaitwa "Makoma"
Doh ulinikosha sana naupendaje alafu hauchuji unaitwa Butu na Moyi...
Mtunzi Nyemo Chilongani
Sehemu ya 01.
Nilikuwa chumbani kwangu, kichwa changu kilikuwa na mawazo tele. Akili yangu ilichanganyikiwa, kulikuwa na mambo mengi ambayo yalinichanganya kipindi...
RIWAYA; CHELEWA UZIKWE!
NA; BAHATI K MWAMBA
SIMU; 0758573660/0624155629.
DAR ES SALAAM….
Kelele za muito wa simu zilimuamsha katikati ya usiku mnene. Alijivuta kivivu huku akijaribu...
Mkongwe kwenye kazi za kimafia na muuaji wa kukodiwa asie na mipaka john wick,anastaafu hiyo kazi baada ya kuoa na kutulia na mkewe.
Baada ya mkewe kuugua ghafla na kufa, John anabaki kwenye...
.
By Sangu Joseph
.
Unajua ukishakuwa Msanii Mkubwa kuna hatua 2 ambazo utajikuta unazipitia unategemea na hatua uliyokuwa nayo Kwa wakati huo na wewe unazihandle vipi.
Hatua ya 1 ni KUSHAMBULIA...
Habari Wanabodi,
Kuna Videos na Movies ambazo mara nyingi sana ukipanda gari la kusafiri kwenda Mkoa lazima ukutane nazo ndani ya basi hasa kwa hizi Luxury Bus.
Kuna hizi;
> Majuto, JB na Dokii...
.
By Sangu Joseph
.
Kwenye Uchambuzi wangu nimeeleza huenda Alikiba akashushwa kimuziki na Konde Boy Harmonize, Kwa sababu Tu wanaomsupport Kiba ndiyo haohao wanaomsapoti Konde Boy.
Kitakachokuja...
Habari ya saa hizi brothers and sisters, ni matumaini ya mtima wangu kuwa nyote ni wa buheri wa afya...
Ama baada ya salamu, wapendwa nina shida yangu.... Huwa napendelea sana kuangalia series...
Kuna wimbo wa zaman kdogo bongo flava na baadhi ya maneno yanaimbwa hvi: "Ndoto haruf mbaya imetawala mwilini, napita mito na mabonde,, ni safari ndefu inayo chukua miaka mingi... Nisaidiem...
Lina uzito wa tani, jiwe jeusi la chato
Jiwe jeusi si dini, jiwe halina mvuto
Sasa nikusimulieni, limepataje uzito
Hata mkifika mia, hamlibebi kitoto
Washi walilipinga, kutaka kulisimika
Ya rangi...