Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,334
- 68,404
Habari Wanabodi,
Kuna Videos na Movies ambazo mara nyingi sana ukipanda gari la kusafiri kwenda Mkoa lazima ukutane nazo ndani ya basi hasa kwa hizi Luxury Bus.
Kuna hizi;
> Majuto, JB na Dokii ( Guruguru)
> Undisputed Redemption iii
> Salt (Evelyn Salt)
> Vitimbi (Akina Mzee Ojwang)
Tutajie na wewe ulizokutana nazo mara nyingi kwenye basi mpaka kero