Nimependa mashairi, hakuna kulambalamba watu. Kijana kayapanga masishairi balaa. Sio kama ngoma za kina chuchu zimechuja hata kabla hazija tumika. Link hii hapa, kula mzigo mnono huo kwa majivuno kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.