Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,138
Aisee kama wewe ni mpenzi wa kusikiliza redio basi fungulia Choice FM hutojutia.
Ni ngoma juu ya ngoma na watangazaji wake wana Vibe kinoma noma
Kule hakuna siasa wala matangazo ya mara kwa mara kama mawingu FM.
Moj, Titi, Masta Tindwa na wengineo, salute kwenu.
Kijiwenu kwangu kila siku ndo redio yangu nawabamba wateja kinoma noma.
102.5 fm.