Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Habari. Hivi kuna mtu mwingine anaona movies na series za kihindi ni ujinga tu? Huwa nashangaa hivi hawa watu hawana akili au wanafanya tu makusudi kuigiza mambo ambayo ni ya kijinga hayana...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Wasanii waandishi hunufaika na nini hasa baada ya kumfanyia kazi msanii mwenzao? Yaani kwa mfano Nandy kaandikiwa na Jay Melody, Aslay na wengine huko, je hawa waandishi hunufaika nini na na kazi...
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Nina likizo ya kama siku 21, sasa nina kajisenti hapa ka kula burudani kwa muda huu wa likizo kisha nirudi kuendelea kutumika kwa mwajiri. Kwanza mimi situmii aina yoyote ya kilevi ila nina...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Lisemwalo lipo na Kama halipo, litakuwa njiani Lina kuja. Huu usemi umedhihirishwa na chuma Cha pua Africa DIAMOND the G. O. A. T, kwa kuwagaragaza Wizkid, Davido na Burnaboy kwa mapato YouTube...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Iliimbwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 kwenye TV, ilikua inaimbwa hivi, "Superstar superstar, superstar wa bongo, superstar superstar kuwa na usongo".
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mambo vipi mabibi na mabwana? Natumaini uko poa na unaendelea na mitikasi ya maisha vile ambavyo umejaliwa. Ebana siku ya Jumapili ya tarehe 12 mwezi Julai 2020 ilikuwa ni siku kubwa sana kwenye...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wanabodi habari zenu ,unakumbuka nini ,ulikuwa unajisikiaje ,ulikuwa wapi tulipokuwa na chombo kimoja cha kupasha habari Tanzania ,Radio na TV ambayo ilikuwa RADIO TANZANIA DAR ES SALAAM (RTD) na...
3 Reactions
3 Replies
3K Views
Heshima mbele kama tai. Nataka siku ya harusi yangu nikodi bendi au msanii wa Bongo Fleva, wana gharama gani kwa show ya usiku mmoja?
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Alicheza Riama Ally kama binti aliependwa na tajiri mmoja ila alifanyiwa mitego na tajiri huyo kuona kama ni mwaminifu akategwa kijana amfatilie kumtaka kimapenzi Jamani inaitweje hio movie?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni hatua kubwa sana anayoionyesha kijana wetu Diamond Platnumz bila shaka anastahili pongezi sana kwa bidii yake katika kazi. Inadhihirishwa na ukubwa wa ngoma yake aliyoshirikishwa ya Yope sasa...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Aisee hii battle naona Kabisa imetangazwa official. Kama shabiki wa mziki njoo useme katika nyimbo zao za Diss umependa ipi ? Na utoe Comments wapi ni wakali ? Mahaba yangu kwa kikosi kazi na P...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Karibu tena katika uwanja mwingine wa maandiko ya Kudo na sasa ni Riwaya mbili ndani ya uzi mmoja Riwaya:operation jicho la paka Riwaya:Dakika za mwisho(with wolf rules) Karibuni
10 Reactions
200 Replies
38K Views
Wakuu naomba msaada mnisaidie jina la hii muvi
0 Reactions
2 Replies
868 Views
Nilikuwa nafuatilia hapa kikao cha CCM Dodoma. Polepole alipotambulisha burdani kabla ya Mwenyekiti wa CCM kusimama, ndipo nikajua kuwa King na Diamond mwenye thamani ni Diamond maana hata...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Leo akiingia kuchangia 'kiuchambuzi', mchambuzi Oscar Oscar alianza kwa kutoa kicheko cha 'kinafiki' kisha akahoji, je madeni yameshalipwa? Watangazaji wenzake wote studioni wakaanza kuangua...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wale wadau wa UFC usisahau kuangalia mechi kali sana kati ya hawa watabe wawili usiku huu, vita ni vita mura
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Guys naomba leo tuondoe utata kuhusu hizi show mbili ni show gan Kali kwa sasa Tanzania maana kila nikiwasikiliza wote wanapondeana. Je, nani mkweli kwenu?
1 Reactions
28 Replies
3K Views
1. Bongo Record =P Funk 2. MJ = Marco Chalk 3. Ban Record = Sheddy Clever 4. Kili Record = Rash Don 5. Tongwe Record = Bin Laden 6. Touch Sound = T touch 7. Tuddy Thomas 8. Wasafi Record = Diamond...
3 Reactions
66 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…