Wazee napata shida kuamini kama wafuasi wa Clous fm ni halali maana wako 5.6 milioni yaani kifupi ndo ukurasa wenye wafuasi wengi zaidi kwenye tasnia ya habari,
Kichekesho sasa ndo page yenye...
USINGOJE SIKU MIA
1. Mara utapo apishwa, Rais Tundu wa Lisu,
Walaka wa kukumbushwa, na kupa pia na kisu,
Siku mia ukipishwa, za kuondoa kukusu,
Usingoje Siku Mia, yaondoe haya Lisu.
2.Watu...
Nitakuwa nakupatia update. Wasanii wote Tanzania kwa moyo wa upendo walitunga nyimbo kuhusu serikali ya CCM.
Wapo katika kufanya mazoezi ya nyimbo zitakazotumika kwenye kampeni ya chama kikubwa...
STORY: SITAKI TENA
MTUNZI: ANDREW CARLOS
IMELETWA KWENU NA: BURE SERIES
SEASON 1
SEHEMU YA 1
Nakumbuka Levina mimi nilikuwa na miaka 12,wazazi wangu walikuwa wakinipenda sana na walipenda...
Ni Rock, Alex, na Money. Wanaishi kwa kutumia wizi. Wwanavunja usiku na kuingia kwenye nyumba watayoona inafaa na kuchukua kila kinachowafaa, wanaishi hivo.
Walipopata taarifa kutoka kwa mtu...
Alipoamua siku hiyo kuwa karibu na msichana anayehudumu katika klabu ya Tanga Raha, Jackson Malima ambaye pia alipachikwa jina la ‘Baba Mchungaji’ na wafanyakazi wenzake, hakujua kwamba hatua hiyo...
STORI ZA KUPIGA RAMLI!
Mtunzi: Muddyb Mwanaharakati
Mawasiliano: 0713538427
ANGALIZO: Atakayekwazika, naomba ani-inbox. I will have the post deleted immediately!
Kingine si kama stori ndivyo hali...
Kimekuja na meli.
Tuheshimiane!
Asubuhi na mapema, hata hali-mseto haijatokea, simu mkononi kumpigia asiyempigia tangu kuzaliwa.
Namba kaipata wapi, ngumu kusema kwa mtu mwenye nia na jambo...
Hakika collection hizi nimejikuta nimesahau shida zangu. Unaweka vitu vikali mnoo. Naomba kufahamu
Lakini kuna wimbo wa Burna Boy umeucheza mida ya saa kumi na moja kamili naomba uurudie...
Wanasheria wa familia walipitisha tamko..maamuzi ikawa ni kugawa urithi..
..Kwamba mzee Richard croft amepotea na ameshindwa kupatikana..mtoto wake wa kike akawa ni kati ya wataopata sehemu ya...
..Alternate Britain..mahali ilipopandwa mizizi ya jengo lenye watu wasomi..na wahusika wanaohitaji kazi ndani ya jumba hili elimu ndo kipaumbele cha kwanza..
..Walipatikana watu nane...
Wakuu wapenda movies ningependa kushare nanyi njia rahisi sahihi na pekee ya kupata movie/series yoyote uitakayo yenye rank ya IMDB ambazo zinakimbiza duniani toka dunia iumbwe hadi leo tar 19Ag...
Leo naomba tushee kitu kimoja tuone kama tutapata movie maniac mate humu. mimi napenda series za drug dealer zaidi na zile ambush ambush zao haswa zikichezewa amerika ya kusini kuhusisha na...
Habari za muda huu wakubwa. I hope mko fresh, Eeh bhana Jana ya tarehe 20 mwezi wa4 2020 ambayo ilikua ni siku ya kuvuta bangi duniani, Good weeda smoke Dadiyeeh in da world.
Iyo siku ya Jana...
Tanzania kuna ladha mbalimbali za mziki kama vile
A. Bongo flava
B. Bongo hip hop
C. Bongo Boringo au mziki wa dansi
D. Bongo Crank
E. Mchiriku
F. Singeli n.k n.k
Sasa huwa najiuliza ila sipati...
Niaje wakuu hii tv show aise iko poa sana kwangu kuanzia stor hadi cast wake.hasa MASTER ndio ananifuraisha sana na ANGELA ABRAHAM maana dada anakinukisha balaa
"BABA KAMA PUNDA JAMANI"
"KISA CHA KWELI, CHENYE KUSISIMUA"
Umri__
Naitwa Koga nimezaliwa mkoani Shinyanga vijiji
Mimi ni binti wa kisukuma, maisha yangu ukubwani
nikiwa binti mkubwa niliyaishi...