Ni aina gani ya muziki inafanywa na WCB?

Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
19,408
25,926
Tanzania kuna ladha mbalimbali za mziki kama vile
A. Bongo flava
B. Bongo hip hop
C. Bongo Boringo au mziki wa dansi
D. Bongo Crank
E. Mchiriku
F. Singeli n.k n.k

Sasa huwa najiuliza ila sipati majibu.

Hivi WCB wanaimba aina gani ya Muziki hapa nchini ?
 
Wanaimba aina zooote za Muziki.
Rhumba wanaimba, Zuku wanaimba, Bongo Flava wanaimba, RNB wanaimba, Hip Hop wanaimba, Singeli wanaimba, Kaswida wanaimba, Kwaya wanaimba, Bolingo wanaimba n.k
.
They switch in every music ila kila mmoja ana identity yake.
Swali jingine tafadhali?
 
Fanya unavyofanya ila utuambie ni namna gani wewe ni kiboko katika kumega. Ukiwa mwanamke itabidi uonyeshe ni jinsi gani ni hodari katika kumegwa.
 
Wanaimba aina zooote za Muziki.
Rhumba wanaimba, Zuku wanaimba, Bongo Flava wanaimba, RNB wanaimba, Hip Hop wanaimba, Singeli wanaimba, Kaswida wanaimba, Kwaya wanaimba, Bolingo wanaimba n.k
.
They switch in every music ila kila mmoja ana identity yake.
Swali jingine tafadhali?
Identiy ya Diamond ni ipi ?
 
Siijui jina lakini ukimsikia Harmonize, Ibraah, MAVOKALI n.k utasema wanaimba kama diamond au msanii yoyote hata kama ni havumi lakini yumo.
.
Siku hizi Harmonize amejitahidi kuacha kuiga sauti ya Diamond.

Sema Diamond nae hana sauti moja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom