Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kkk
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Iij
1 Reactions
5 Replies
993 Views
MAISHA NA SIMULIZI ZA MAFUNDISHO STORI YA KWELI YA AJABU NA YAKUSISIMUA Kulikuwa na mzee mmoja ambaye alikuwa tajiri sana, Mzee huyu alibahatika kuwa na binti mmoja na ambaye alimpenda sana na...
5 Reactions
5 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Nimefatilia sana hizi movie za Mongo Movie, lakini kwenye scene wanazocheza kama askari polisi kwakweli hawazingatii weedi zaidi wanalidhalilisha jeshi letu. Mara nyingi unakuta...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Nimekuwa nikisoma hapa jukwaani jinsi series hii inavyosifiwa lakini sijajua inahusu vitu gani, nikahamasika kuinunua, Nimenunua season ya kwanza hadi ya mwisho, Nimeanza na episode ya kwanza...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Ninaona uvivu kuandika. Ila pointi ya msingi ni kwamba lile pambano ambalo tulikuwa tukilisubiria kwa hamu hatimaye kimeeleweka. Hatimaye siku ya tarehe 28/8/2020 tutashuhudia tena kwa mara ya...
2 Reactions
169 Replies
17K Views
DARASA LA TANO C: WAZEE WA KUENGUA Na, Robert Heriel Leo nitasimulia kwa mtindo wa Filamu. Hii ni filamu ya maandishi. Karibu sana Mpenzi Msomaji. Picha letu linaanzia katika maeneo ya shule...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Sote tunajua jinsi nyimbo zinavyoamsha hisia na kuondoa mawazo wakati mwingine.. Kuna watu husema "Favorite songs" Yaani wimbo wangu pendwa Mashairi katika wimbo pendwa huwa ni ujumbe ambao mtu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
. Special Song for African Union (AU) and United Nation(UN),"AFRICAN PRISON" watch it and enjoy it to build New African Prisons..KEEP LOUD.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau,naombeni msaada mwenye wimbo wa Ally star-natanga na njia aliouimba akiwa TOT anitumie
0 Reactions
8 Replies
12K Views
Katika movie zangu kali za mwaka huu ni hii
3 Reactions
126 Replies
17K Views
Umri ulimwambia kakua..usichana ukapiga nae story kumshawishi awe na mvulana..akawa nae..akautimiza ukamilifu wake kiakili..baba dokta mama dokta..ayesha sachin aliishi kikamilifu kwenye maisha...
6 Reactions
6 Replies
961 Views
Wimbo wa Yanga ulioimbwa na Harmonize umeushusha wimbo wa Simba na kuwa Number One trending kwenye youtube; hata hivyo Mondi hajakubali na hivyo amelipia post ya facebook (sponsored) ili...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Nimekua mara moja moja nikitazama hii TV, jambomoja nililogundua ni kwamba Naseeb hafanyi mambo ya kubahatisha akifanya kitu anafanya kweli. Wasafi TV kuanzia muonekano wa picha, vipindi vyao...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hizi movie kuna nyingin zinatoka mwaka huu na nyingin tunazisubili mwakani James Bond Mulan
2 Reactions
17 Replies
2K Views
DJ Maarufu wa E-FM na mwenye manjonjo ya aina yake DJ Mamie, jana ametanganza rasmi amejiunga na Wasafi Media kupitia Instagram yake. Baada ya kupost, hiyo post imepata like nyingi na comment...
5 Reactions
45 Replies
6K Views
Wakuu habari ya majukumu. Mbali kufanya kazi ngumu za kutafuta kipato ila sio mbaya kuna mda unachangamsha mwili na akili kwa vitu vyepesi kupunguza machungu ya ugumu wa maisha, wengi wetu...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Hizi ndo katuni zangu bora za muda wote nahisi Kama kuna mtu hajwahi kuziona ye atakuwa amekosa bahati?? Zipe maksi na ww au sema zako bora nyingine wale wazee wa animation[emoji23]
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MWANDISHI: NYEMO CHILONGANI. SIMU: 0718 069 269 MAHALI: DAR ES SALAAM. MBUNIFU WA COVER: KINDO EMMANUEL MCHEZA FILAMU ZA NGONO 1. Kampuni ya kutengeneza filamu za ngono ya Digital Playground...
3 Reactions
30 Replies
25K Views
Habari wakuu. Hope mko poa mnaendeleza mapambano dhidi ya janga kuu la umaskini nami nikaona si haba kuwaletea kijistori kidogo tuserebuke nako kwenye moja na mbili. Stori inaanza kama ifuatavyo...
5 Reactions
11 Replies
30K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…