OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,224
- 13,077
Nimekuwa nikisoma hapa jukwaani jinsi series hii inavyosifiwa lakini sijajua inahusu vitu gani, nikahamasika kuinunua,
Nimenunua season ya kwanza hadi ya mwisho,
Nimeanza na episode ya kwanza ya pili na ya tatu sijaelewa inahusu nini, nikaamua nianze kusoma subtitle kwa kupause, napo nimeambulia kuelewa utekaji wa mtoto wa Mr Bauer
Kiufupi nakosa mzuka wa kuendelea kuitazama,
Mnaojua inahusu nini hebu nipeni muongozo wakuu,
Nimewahi kutizama prison break na Money heist, zinavutia tangu mwanzoni pia Title zake zinakupa maudhui ya moja kwa moja kuwa movie inahusu nini,
Wakuu msaada tafadhari