Extraction ya Chris Hemsworth mmeionaje?

RAKI BIG

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
394
456
Katika movie zangu kali za mwaka huu ni hii
Extraction-3.jpg
Extraction-3.jpg
 
Movie ipo poa. Kuhusu fate ya Taylor, Director katika mahojiano anasema inategemea na wewe utakavyoona.
 
Movie imejizolea umaarufu mkubwa Sanaa kwa kipindi hichi watu wapo majumbani kupambana na corona hasa wakijifukiza na kunawahmkono na barakoa kwa sana

Chris (tyre rake) ndo kasimamia mzigo huo kama star wa movie

Me naipa rate 9/10

Directors wamejitahidi sana action zipo poaa
Ina mfanano wa john wick n action hakuna kutulia mwanzo mwisho

Nmeinyima moja koz of bad ending aisee

We unaonaje?

IMG-20200428-WA0011.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom