zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,865
Hizi ndo katuni zangu bora za muda wote nahisi Kama kuna mtu hajwahi kuziona ye atakuwa amekosa bahati??
Zipe maksi na ww au sema zako bora nyingine wale wazee wa animation[emoji23]
Zipe maksi na ww au sema zako bora nyingine wale wazee wa animation[emoji23]