Jason Bourne vs James Bond

Boeing 757

JF-Expert Member
May 18, 2020
288
612
Matt Damon au almaarufu Kama Jason Bourne na Daniel Craig au James Bond yupi mkali katika ule ulimwengu wetu wa ujasusi?
Ni kazi gani NJEMA ya hawa miamba hujutii kabisa kuziangalia?
4fb231e49be02cfcb29fba1305dc04f42f402f69.jpg
 
James Bond - Yeye anakula raha, piga sana miti, anakunywa vinywaji vizuri, anajitambulisha, anavaa vizuri na anaendesha magari mazuri mno, hes a gentleman but lethal and dangerous, na anafanya assignment zake vizuri...

Jason Bourne - Ana psychological problems, nyingi mno, kuanzia utoto wake, mafunzoni, jeshini na kazini, kila wakati kichwa chake chazunguka kama pia, combat to combat sidhani kama James Bond angemueza, Bourne kwa hilo tu yuko vizuri mno, pia anafanya kazi zake, siyo mtu wa maraha kabisa, mademu zake lazima wafe!

Ila wote wako vizuri, nawapenda kivyao...
 
Matt Damon au almaarufu Kama Jason Bourne na Daniel Craig au James Bond yupi mkali katika ule ulimwengu wetu wa ujasusi?
Ni kazi gani NJEMA ya hawa miamba hujutii kabisa kuziangalia?View attachment 1477816
James Bond ashapoteza ladha yake ya awali ila Jason bourne ni hatari sana. Story line, mapigano, instincts, shots ni za hali ya juu. Hakuna sijui migadgets ya uongo na ukweli kamaa ya James Bond.
Ila jinsi wanavyoirefusha story inapoteza ladha ila ni bonge moja ya Franchise
 
Matt Damon au almaarufu Kama Jason Bourne na Daniel Craig au James Bond yupi mkali katika ule ulimwengu wetu wa ujasusi?
Ni kazi gani NJEMA ya hawa miamba hujutii kabisa kuziangalia?View attachment 1477816
007 ni issue ingine mjomba, mission anazoenda kupiga ni za hatari na nyingi hufikia hata kutekwa lakin kwa uwezo wake hujichomoa.

Jasson Bourne naona sijui kwanini wamemuweka kama mtu ambae hata yeye mwenyewe hajikumbuki ni nani. Na maadui zake mara nyingi ni maboss zake.

Ila kama alivosema mdau hapo juu kwenye mkono JB yuko fit zaidi.

Kitu kingine 007 zimeigizwa na wachezaji wengi Sana, sijui kwanini umeamua kumtumia Craig.

All in all 007 ni levels za juu, itachukua decades kwa JB kama zitaendelea kumkuta 007
 
โฏThe Bourne Identity โ˜œ nkupitia hiyo movie ndipo nilimuona Jason ni tofauti na Daniel Craig na baadaye nilimpongeza kwa sinema flani nimeipoteza akilini iliyohusu ujasusi, akiwa mbeba maboksi.
 
Tatizo muvi za james bond wamecheza wengi wakiigiza wao ni james bond, mi binafsi nilimwelewa Sean Connery tu, ila matt damon ni mzuri pia

mimi namuelewa sana pia sean connery na pierce bronsnan huyu daniel craig sijawahi kumuelewa

ngoja mkataba wake uishe tuone tutaletewa nani
 
007 ni issue ingine mjomba, mission anazoenda kupiga ni za hatari na nyingi hufikia hata kutekwa lakin kwa uwezo wake hujichomoa.

Jasson Bourne naona sijui kwanini wamemuweka kama mtu ambae hata yeye mwenyewe hajikumbuki ni nani. Na maadui zake mara nyingi ni maboss zake.

Ila kama alivosema mdau hapo juu kwenye mkono JB yuko fit zaidi.

Kitu kingine 007 zimeigizwa na wachezaji wengi Sana, sijui kwanini umeamua kumtumia Craig.

All in all 007 ni levels za juu, itachukua decades kwa JB kama zitaendelea kumkuta 007
Ila Craig Daniel kuna documentary fulan hivi nilikuwa naiangalia , huyu jamaa alishawahi kukaribishwa kwenye ofisi za makao makuu ya CIA yaliyopo huko langley Virginia sijuhi ilikuwa ni hafla ya nini ila ilikuwa kama party fulani hivi jamaa naye alikuwepo.
 
Bond hana lolote. Anabebwa na vikolokolo kibao. Jason ni hatari sana kuanzia hand to hand combat hadi kwenye silaha sasa ukijiroga ukampa na hizo gadgets za Bond anakua nusu mtu nusu mungu
 
Jason Bourne ni moto wa kuotea mbali aisee, alafu jamaa anatumia akili sana mpaka ananitamanisha nami niwe jasusi.
 
Back
Top Bottom