Je, Jamal April ameweza kuziba pengo la Mtiga katika kipindi cha The Story Book?

danielhipoliti

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
677
1,000
Habari wakuu na poleni na majukumu

Nimekua mpenzi sna wa kipindi cha The Story Book cha Wasafi Media

Nilikua nimevutiwa sna na umahiri wa msimuliaji Mtiga Abdallah. Alikifanya kipindi kikapedwa sna na watu wa rika zote.

Hata alipo toka Wasafi Media Mimi nilikua miongoni Mwa watu waliosema sita sikiliza tena The Story Book.

Ila kwa creativity ya Jamal April aka Professor imenifanya niendelee kukisikiliza na kukipenda zaidi hiki kipindi hii ni kutoka na kujitofautisha na Mtiga.

Je, wewe mtazamo wako upi?
Je, Mtiga Vs Professor nani katisha zaidi Kwa wakati wake walipo kua wakihudumu katika kipindi cha The Story Book?
 

Kitandu Nkoru

JF-Expert Member
Jun 13, 2017
740
1,000
na story zake za kuokota humu JF....na web tofauti tofauti akizichanganya anatoa story nzuri. Pongezi kwake
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom