Uzi maalum wa copy and paste...wazee wa vitonga

dvj nasmiletz

JF-Expert Member
Jul 23, 2018
2,020
2,157
Sanaa ni ubunifu
Ni kipaji
Ni uwezo
Ni taaluma

Lakini kuna watu wanachukua kazi za watu flan au wanaziedit kwa asilimia flan ndogo sana na kuzifanya zao bila kutoa credits kwa wahusika...

Hebu tuwachane na ikiwezekana tuweke na picha

Mfano

Biti za nyimbo
Video
Logos
Slogan
Names
Nk
 
Back
Top Bottom