Zote izo ni takataka tu"Mwambie yule mtoto moto huu haingii hapa,kitonga atakachopa ni Wi-Fi tu,labda apate sare nimeanza na plan b,flow zake imekataliwa kama kinga iliyovaliwa ,.
.....kudadeki Young lunya yuko vizuri na flow anayo
Joh Makin hana ishu sasaTofauti ya mimi hapa na hawa marapa rappers wanaojii trappers/
wao ni knee slappers nasema kwanza wao wana repeat after/
Nimeshaona mengi sijawahi skip chapter
i learn this game from joh makini rapture/
conboi or cannabino.
Hana bars anachana ushogaNipe bars za young dee
It took me allota time,kutafuta inspiration/Joh Makin hana ishu sasa
Huyo ni conboi mfalme wa trap east africa.Joh Makin hana ishu sasa
Pole mwalimu,Ohhhoooooo.....
Naona nimeingia kwenye mlango wa kutokea...
🚴🚴🚴🚴🚴🚴
Pole sana ukipata mtoto akili yako itakua..!MIMI NI CCM DAMU-----MIMI NI YANGA DAMU-----MIMI NI TANZANIA DAMU----MIMI NI TEAM MAGUFULI DAMU---- MIMI NASEMA KWA KAULI MOJA "MITANO TENA, KAZI IANZE"
Young d ni garasa kama lunya tu.usimuhusishe tena Yound D na hao magarasa aisee.
humjui Young DYoung d ni garasa kama lunya tu.
Hata nami nimeitika mwali...👴Pole mwalimu,
Hapa waachie tu vijana.!
Si huyu anaye kula unga au kuna mwengine?humjui Young D