Daa
Hii movie nimeiona miaka nyuma kidogo sijui inaitwa je,ipo hivi
Kuna mama alikuwa analea watoto, sasa pale kwake kuna maabara flani doctor alikuwa anafanya utafiti,
Kuna siku doctor...
Mapinduzi ya burudani:Nimekuwa mdau wa matamasha ya burudani hapa nchini na nimefarijika kuona matamasha yanazidi kuongezeka na hii itawapa changamoto wasanii watengeneze ngoma Kali ili tupate...
Baada ya kuimaliza riwaya ya UKURASA WA GAIDI,huku tukielekea mwisho wa riwaya ya SAUTI YA MTUTU,Ni wasaa mwingine kukuletea MBWA WA GETI.
Riwaya hii nitaanza rasimi kuiweka hapa keshokutwa,saa...
NA; BAHATI K MWAMBA
-----1------
Kikao cha watu watatu kiliendelea na kila Mjumbe, tayari alishatoa wazo lake aliloona ni sahihi kwa wakati huo. Makubaliano ya hapa na pale...
RIWAYA; NGOMA NGUMU
NA: BAHATI K MWAMBA
SIMU: 0758573660/0624155629
NAIROBI, KENYA…
Kulikuwa na mabishano makubwa ndani ya nyumba moja ya kifahari, katikati ya jiji la Nairobi. Kulikuwa na...
Kwakua sifahamu sana mambo ya HIPHOP huenda nikawa nimekosea kuuliza swali (Mtanisamehe)
Naomba kujuzwa mambo kadhaa kuhusiana na hiphop.
1. Tofauti ya MC na RAPPER
2. Wanasema hiphop ina nguzo...
Mshkaji nammanya kitambo sana kwa title ya danny msimamo alidondosha vitasa kadhaa kikiwepo hiki cha leo ambacho nakichededea sana. kitasa kinaitwa MIC. Kitambo sana nimekisikilizia hiki kitu...
Naona mashabiki wapo busy kujadili Na kulinganisha wasiojua mziki wanaacha kusikiliza mziki mzuri. Link Hiyo hapo chini akiwa Na Ben pol, huu ndio mziki sasa wengine hao wanapiga makelele...
Heshima mbele wadau, ninahitaji kununua system ya mziki wa club, je ni vitu gani vinahitajika kufanya system nzima na bei yake ikoje, specifications zipi za kuzingatia?? Gharama yake kiasi gani?
Yaani naboreka sana msanii utakuta anatoa ngoma (wimbo) kali sana natrend kila kona, lakini haifanyii video au utakuta video yake mbovu.
Mfano:
1. Dhahabu- Dully Sykes ft Blue & Joslin
2. Run...
Film ya Terminator 2. Ya mwaka 1991 iliyo chezwa na Anorld Schwarzenegger katika film hiyo Anorld Schwarzenegger alikua analipwa Tsh.50millions kwa kila neno alilo tamka.
Nakatika Film hiyo Anorld...
Msanii Harmonize baada ya kudondosha muziki wake wa USHAMBA amekuwa akiweka post mbali mbali zikiashilia kama kijembe na kujawa na majigambo kuhusu wimbo wake huo hii hapa chini ni miongoni mwa...
Halafu kaeni mkijua kuwa kuna wengine Mwenyezi Mungu 'ametubariki' na 'Vipaji' vingi tu hivyo hata huku 'Kuimba' tunaweza vile vile sema tu haikuwa 'Kipaumbele' chetu. Kama kuna 'Msimu' wa BSS...
Huu Wimbo wa 'WAAH' ukiwa unapigwa au hata unausikiliza tu popote pale halafu huamki ama Kucheza tu au Kutikisika basi utakuwa na matatizo Kichwani au utakuwa ni mwana Yanga SC mwenye Roho Mbaya...
Diamond siku ya leo ameachia video ambayo ilikua inasubiriwa sana baada ya audio yake kufanya vizuri sana, na kwa hamu waliyokuwa nayo mashabiki wamesababisha kuivamia video hiyo na ndani ya saa...
Nakumbuka unaitwa "Jina lako li hai" umeimbwa na Kijitonyama Upendo Group.Unaimbwa Jina lako li hai x3,ewe Yesu,Jina lako lina nguvu x3 ewe Yesu.Nikiupata nitafurahi sana.Natanguliza shukrani...
Azama wamepandisha bei ya ving'amuzi vyao tofauti na wanavyojipambanua kwenye matangazo yao. Nimetumiwa sms hii
Ndugu mteja, kuanzia tar 1 Disemba bei za vifurushi ni 8000, 13000, 20000 & 28000...