Azam wapandisha Bei ya ving'amuzi

uzewela

Senior Member
Jul 29, 2020
119
261
Azama wamepandisha bei ya ving'amuzi vyao tofauti na wanavyojipambanua kwenye matangazo yao. Nimetumiwa sms hii

Ndugu mteja, kuanzia tar 1 Disemba bei za vifurushi ni 8000, 13000, 20000 & 28000 kwa mwezi na 2500, 4000 na 9000 kwa wiki. Chaneli za Azam Sports zitapatikana kuanzia 20000 au 9000 kwa wiki Azam 1 & 2 kuanzia 13000 au 4000 kwa wiki, Sinema Zetu kuanzia 8000. Furahia chaneli, vipindi zaidi na muonekano HD
 
Wamepandisha bei ya vifurushi au ving'amuzi.....!
 
Back
Top Bottom