Msaada kwa mwenye huu wimbo-audio jamani

TruthLover

JF-Expert Member
Jan 30, 2019
1,394
2,000
Nakumbuka unaitwa "Jina lako li hai" umeimbwa na Kijitonyama Upendo Group.Unaimbwa Jina lako li hai x3,ewe Yesu,Jina lako lina nguvu x3 ewe Yesu.Nikiupata nitafurahi sana.Natanguliza shukrani.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom