Wimbo mpya wa Darassa ft Ben Pol - Muziki (Official Music Video)

A2G

JF-Expert Member
Nov 17, 2016
283
828
Naona mashabiki wapo busy kujadili Na kulinganisha wasiojua mziki wanaacha kusikiliza mziki mzuri. Link Hiyo hapo chini akiwa Na Ben pol, huu ndio mziki sasa wengine hao wanapiga makelele


Mashairi yake....

Rudi utotoni
usipotembea utabebwa mgongoni
255 champion boy
niite mbwana samata

Verse 1(darasa)
wanaoota mapembe waongezee mkia
na ukinibeep tunakupigia
let me make one thing clear
blaa blaa sitaki kusikia
sio simba sio chui sio mamba
ngozi yangu inatosha kujigamba
na sina maneno ya kwenye kanga
kazi juu ya kazi
yani bamba tu bamba
mzaha unaweza kuzaa kizaa zaa
sinzia na fegi uchome kibanda
kalale uote ndoto zako za kitanda
si bado tupo macho mida ya wanga
funga mkanda,kaza na kamba
ama ufuate nyayo uchane msamba
pasua miamba pasua anga
tunasemaga chambua kama karanga

Birdge
Ee maisha namuziki
acha maneno weka muziki
ukiwa zap ukiwa up ukiwa juu ukiwa chini
piga muziki
yeeeh
safari na muziki
heee
acha maneno weka muziki
yeeeh
imba unachopenda
na ukitaka kucheza cheza muziki

chorus(ben pol)
bambata
shika kamata
rumba chakacha
Kaboka mchizi nishadata,shadata

verse 2(darasa)
unataka kukimbia nahauna break
what do you expect
bongo kongo kwa tabumbeki
cheza lokasi ya mbongo uwezi kumake
waache wa sell usije ukajicomfuse
mzuka wa kuruka reggae kwenye blues
unamchuzi wa excuse
maisha yetu ya kila siku kama vile movie
vitu vingine havitakagi ujuaji
utajikuta unatandikia watu jamvi
kusubiria embe chini ya mnazi
kumuelewesha chizi utajipa kazi
funga mkanda kaza na kamba
amaufuate nyayo uchane msamba
pasua miamba
pasua anga
tunasemaga chambua kama karanga
Ee(uwiiiiiiii)

Birdge
maisha namuziki
acha maneno weka muziki
ukiwa zap ukiwa up ukiwa juu ukiwa chini
piga muziki
yeeeh
safari na muziki
heee
acha maneno weka muziki
yeeeh
imba unachopenda
na ukitaka kucheza cheza muziki

Outro
wanatamani tupotee kwenye map
mnapeleka game to the top top
I got told up
na we don`t stop
don`t sop we don`t stop
wanatamani tupotee kwenye map
mnapeleka game to the top top
I got told up
na we don`t stop
we don`t stop
 
Iko powa, kazi nzuri, video nzuri.

Hasa ukichukulia jinsi watu walivyoikubali ngoma yake ya Too Much, haja-disappoint.

Ngoja tumsubiri Bill Nas naye tuone nini kinafata baada ya Chafu Pozi.

Nasikia bil Nas anataka kujiroga Kwa kujiunga WCB
 
We ni darasa au umetumwa na darasa. Unaongelea watu waachane na bilionea diamond platnum na wamsikize huyo ndrobo darasa

Hahahaaa mkuu sio kosa lako bali uteam ndio unakusumbua. Wewe Ni team Nani vile?
 
Nasikia bil Nas anataka kujiroga Kwa kujiunga WCB

Sijui kama ni kujiroga au vipi, nadhani atakuwa amejielewa.

Ila kweli nina hamu ya kusikia anakuja na nini, angalau sasa Hip Hop imeongeza vichwa kwenye media bongo.
 
Kichupa kikali kweli kweli japo flows zile zile za tooo much ila bonge la ngoma


darasa kweli ni darasa

Wacha awapige mc butu msasa
 
ahaa ki ukwel namkubali diamond ila kwa week hii nmejikuta nyimbo ya darassa naiskilza zaid ki ukwel jamaa yuko vzur hajawah kuniangusha
 
Darasa yan huo mzizi uliokula mwaka huu usiuache mana unanguruma tu,...hilo ni bonge la pini
 
Always darassa haniangushi asee tangu sikati tamaa mpka leo hii muziki noma sanaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom