Riwaya: Ukurasa wa gaidi

Dah watu mnavyomaindi msijali asiengoja nusunusu leteni pesa tu ila wale wenzangu na mimi tungoje hapahapa
 
karibu kwenye arosto
Unajua bana mtu anapewa bure mtu umepoteza muda wako mwiingi kuandika afu mtu anasoma kwa dakika tano tu afu yeye bado analalamika hata bando hajakupa naw umeipost kwa mapenzi tu afu mtu aja kulalamika utadhani anajua japo uchungu wa vidole nashangaa sana sisi binadamu
 
pole vngne uwe unapotezea
 
Kudos cjui 900 u mtunzi mnzuri ila inaonyesha umerizika Na elfu tatu za huko fb Na kuja kunyanyasa watu humu jf! Embu kama umeamua kuleta kazi humu jf!! Ikamilishe ili tukulubali jumla! Kwa mfano stivu mollel akatoa kitabu hata kama kinauzwa laki ntanunua kwa SBB kazi zake zinaanza vizuri Na umaliziaji mnzuri! Sasa wew unaanza kitu halafu hakiishi ! Jirekebishe usinyanyase watu
 
Sasa kama unawza ivyo si bora uziuze tu unazileta uku za nn sasa, unataka kubembelezwa wakati kweli unarushia umati
 
Kwanza nikufahamishe ndugu sijawahi kuweka fb

Lakini kubwa nambie wapi niliweka uzi sikumaliza? Au siposti baada ya kuweka? Chief busara jambo jema sana kuliko mihemko ya hisia lakini ewe bwana MTENGETI umeona alichoandika huyo mtu na mimi kumjibu? Nakuheshimu naomba tuishie hapa si vyema kulumbana bila sababu
 
C
Sasa kama unawza ivyo si bora uziuze tu unazileta uku za nn sasa, unataka kubembelezwa wakati kweli unarushia umati
hief unajua nini maana ya mihemko? acha kuwa na hiyo tabia bigjahman tafadhali tusifike huko

Unaona ni sahihi mtu kulalamika ikiwa stor ipo sehemu ya pili?
Basi kosa nimelitambua nitarudi na majibu ya kosa langu soon
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom