Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,611
[Chorus:]
Heey Lord
Hear my plea
I am living on the Streets
I have Nothing to eat
Heeey Lord
What shall I do?
Do I become a Hardcore Gangster
Or Get a Jobs within the Streets?
The richest man I see
He use drug right infront of me
Will I find JOY and Happiness
In Hustling and Struggling?
I want to build a Palace
And Marry my Princess
You gotta give me guidance
'Cause my patience is running Out
[Verse 1: Fid Q]
Nyumbani Ndugu Wanauana
Ili Warithi Mali
Jela Wanafungana
Wakati Undugu
Kufaana
Najiuliza Swali
Kisha napata Jibu
Nakubari kua
Maisha hayawi bila Ubandidu
Palipo Masrahi
Usisite kuamua kuharibu
Ingali yu hai
Utatubu dhambi taratibu
Mwanadamu amemtawala mwenzie
Kwa muumiza
Anakwapua mpaka asivyovihitaji
Bila kubakiza
Hii inafaaanya
Nafsi yangu Ikose Subira
Ikose Usingizi
Uoga Huzuni na Hasira
Hakuna kampeni za Ukimwi
Nia ni kuuza Mipira tu
Chanzo cha Vita nyingi sasa
Ni kupeana Ajira tu
Misaada haitoki bila kudhalilishwa
NGO's wanawalipa Masikini
Kisha wanawapiga Picha
Uchumi uliopo
Haupo kwa Masrahi ya Wengi
Siasa imegeuka UHUNI
Baadhi ya ViONGOZI ni WEZI
Ukisituka kuona kichuguu
Utazimia ukiona Mlima
Sikukuu nipe BUNDUKI
Sitaki Zabibu au Dinner
Sitaki Nguo ya Sikukuu
Nipe GWANDA
Niende Chimbo Kiana
Mitaa inanipa Ujuzi Uwezo
Pia ilinipa Jina
Haihitaji ufanye Uchunguzi
Ili upate maelezo ya kina
Mie ni wa Mwisho Kulala
Pia ni wa kwanza Kuamka
Usiku kucha
Huaga najibanza kwenye Ukuta
Sina Shuka
Labda kama nimevuta KiGOLI
Sina Mzuka
Nasituka hata cha Ukucha
NAMBONJI
Au nanusa Chupa ya GUNDI au Petrol
Nakesha km BUNDI
Sanjari na Walinzi wa LODGE
Maisha yangu yako Ovyo
Na navumilia Msoto
Naona poa kuliko yale ya kwenye vituo vya Watoto
Vyakula vibovu havifahi kwa matumizi
Wasimamizi wanabaka mabinti
Sababu ya Chips
Sikua na jinsi zaidi ya kuamua kurudi Street
Sikua na jinsi zaidi ya kuamua kurudi Street
[Chorus: Mzungu KiCHAA]
Heey Lord
Hear my plea
I am living on the Streets
I have Nothing to eat
Heeey Lord
What shall I do?
Do I become a Hardcore Gangster
Or Get a Jobs within the Streets?
The richest man I see
He use drug right infront of me
Will I find JOY and Happiness
In Hustling and Struggling?
I want to build a Palace
And Marry my Princess
You gotta give me guidance
'Cause my patience is running Out
[Verse 2: Fid Q]
Tunageuzwa ma-house-boy na
Wanaozuga kutu-adapt
Ukijifanya uko too BIG
Wanaku-Tupac
Mie ni zaidi ya mtafutaji
Ndio maana sipumziki
POLISI wamepanda Chat
Kwa sababu tu ya Kuni-Diss
Haimaanishi nachukiwa
Ni vyema ungehisi natumiwa
Nilishawahi bebeshwa Drugs na Maiti
Bila kuambiwa
Magumashi yakapigika na script
Sikuandikiwa
Watu wangu Mashababi
Mnyonge hana Nafasi
Kibonde anzisha Ugomvi
Walume tuje Kusachi
Nilikua Mtundu labda ndio
Mwanzo wa Hisia
Nakana
Mi sina Gundu ingawa wengi
Walinibania
Kwenye Vocal Booth Maiki nai-Busu
We fikiria
Wangapi wananuka Mdomo Maiki harufu
Wameiachia
Unaweza ukawa Mgomvi na
Una Black Belt ya kupigwa
Enzi hizo ujanja ku-break Dance
Huku
Enzi hizo Rap haipendwi kama
Buzuki
Nanyoa upara Wembe
Napaka Mafuta ya BUNDUKI
Najua itabamba kama Ngekewa
Mbuzi atakosa Ndevu
Lakini Ng'ombe atapewa
Mistari ndio silaha ya kwanza
Itayowafanya
WAHENYE
Itawakumbusha ya kwamba
HII MAKANDAWILA INA WENYE
Kiumri nimekua na
Muziki Tangu utotoni
Vitu vingi ninavyofanya MC's
Huvifanya Ndotoni
Wanasema Mie ni Nabii pekee
Anaekubarika kwao
Zaidi ya Msanii
Mazee nataka kua Mshika Dau
Kuishi Dar ili ku-win-kiukweli
Ili ku-win sio Nightmare
Jua utosini Magumashi yanaendelea
Sikua na jinsi zaidi ya kuamua kurudi Street
Sikua na jinsi zaidi ya kuamua kurudi Street
[Chorus: Mzungu KICHAA]
Heeeey Lord
Hear my plea
I am living on the Streets
I have Nothing to eat
Heeey Lord
What shall I do?
Do I become a Hardcore Gangster
Or Get a Jobs within the Streets?
The richest man I see
He use drug right infront of me
Will I find JOY and Happiness
In Hustling and Struggling?
I want to build a Palace
And Marry my Princess
You gotta give me guidance
'Cause my patience is running Out
Fid Q ft. MZUNGU KICHAA - Hey Lord
View: https://m.youtube.com/watch?v=y_9L5tBXKNY&pp=ygULZmlkIHEgYWxidW0%3D
Heey Lord
Hear my plea
I am living on the Streets
I have Nothing to eat
Heeey Lord
What shall I do?
Do I become a Hardcore Gangster
Or Get a Jobs within the Streets?
The richest man I see
He use drug right infront of me
Will I find JOY and Happiness
In Hustling and Struggling?
I want to build a Palace
And Marry my Princess
You gotta give me guidance
'Cause my patience is running Out
[Verse 1: Fid Q]
Nyumbani Ndugu Wanauana
Ili Warithi Mali
Jela Wanafungana
Wakati Undugu
Kufaana
Najiuliza Swali
Kisha napata Jibu
Nakubari kua
Maisha hayawi bila Ubandidu
Palipo Masrahi
Usisite kuamua kuharibu
Ingali yu hai
Utatubu dhambi taratibu
Mwanadamu amemtawala mwenzie
Kwa muumiza
Anakwapua mpaka asivyovihitaji
Bila kubakiza
Hii inafaaanya
Nafsi yangu Ikose Subira
Ikose Usingizi
Uoga Huzuni na Hasira
Hakuna kampeni za Ukimwi
Nia ni kuuza Mipira tu
Chanzo cha Vita nyingi sasa
Ni kupeana Ajira tu
Misaada haitoki bila kudhalilishwa
NGO's wanawalipa Masikini
Kisha wanawapiga Picha
Uchumi uliopo
Haupo kwa Masrahi ya Wengi
Siasa imegeuka UHUNI
Baadhi ya ViONGOZI ni WEZI
Ukisituka kuona kichuguu
Utazimia ukiona Mlima
Sikukuu nipe BUNDUKI
Sitaki Zabibu au Dinner
Sitaki Nguo ya Sikukuu
Nipe GWANDA
Niende Chimbo Kiana
Mitaa inanipa Ujuzi Uwezo
Pia ilinipa Jina
Haihitaji ufanye Uchunguzi
Ili upate maelezo ya kina
Mie ni wa Mwisho Kulala
Pia ni wa kwanza Kuamka
Usiku kucha
Huaga najibanza kwenye Ukuta
Sina Shuka
Labda kama nimevuta KiGOLI
Sina Mzuka
Nasituka hata cha Ukucha
NAMBONJI
Au nanusa Chupa ya GUNDI au Petrol
Nakesha km BUNDI
Sanjari na Walinzi wa LODGE
Maisha yangu yako Ovyo
Na navumilia Msoto
Naona poa kuliko yale ya kwenye vituo vya Watoto
Vyakula vibovu havifahi kwa matumizi
Wasimamizi wanabaka mabinti
Sababu ya Chips
Sikua na jinsi zaidi ya kuamua kurudi Street
Sikua na jinsi zaidi ya kuamua kurudi Street
[Chorus: Mzungu KiCHAA]
Heey Lord
Hear my plea
I am living on the Streets
I have Nothing to eat
Heeey Lord
What shall I do?
Do I become a Hardcore Gangster
Or Get a Jobs within the Streets?
The richest man I see
He use drug right infront of me
Will I find JOY and Happiness
In Hustling and Struggling?
I want to build a Palace
And Marry my Princess
You gotta give me guidance
'Cause my patience is running Out
[Verse 2: Fid Q]
Tunageuzwa ma-house-boy na
Wanaozuga kutu-adapt
Ukijifanya uko too BIG
Wanaku-Tupac
Mie ni zaidi ya mtafutaji
Ndio maana sipumziki
POLISI wamepanda Chat
Kwa sababu tu ya Kuni-Diss
Haimaanishi nachukiwa
Ni vyema ungehisi natumiwa
Nilishawahi bebeshwa Drugs na Maiti
Bila kuambiwa
Magumashi yakapigika na script
Sikuandikiwa
Watu wangu Mashababi
Mnyonge hana Nafasi
Kibonde anzisha Ugomvi
Walume tuje Kusachi
Nilikua Mtundu labda ndio
Mwanzo wa Hisia
Nakana
Mi sina Gundu ingawa wengi
Walinibania
Kwenye Vocal Booth Maiki nai-Busu
We fikiria
Wangapi wananuka Mdomo Maiki harufu
Wameiachia
Unaweza ukawa Mgomvi na
Una Black Belt ya kupigwa
Enzi hizo ujanja ku-break Dance
Huku
Enzi hizo Rap haipendwi kama
Buzuki
Nanyoa upara Wembe
Napaka Mafuta ya BUNDUKI
Najua itabamba kama Ngekewa
Mbuzi atakosa Ndevu
Lakini Ng'ombe atapewa
Mistari ndio silaha ya kwanza
Itayowafanya
WAHENYE
Itawakumbusha ya kwamba
HII MAKANDAWILA INA WENYE
Kiumri nimekua na
Muziki Tangu utotoni
Vitu vingi ninavyofanya MC's
Huvifanya Ndotoni
Wanasema Mie ni Nabii pekee
Anaekubarika kwao
Zaidi ya Msanii
Mazee nataka kua Mshika Dau
Kuishi Dar ili ku-win-kiukweli
Ili ku-win sio Nightmare
Jua utosini Magumashi yanaendelea
Sikua na jinsi zaidi ya kuamua kurudi Street
Sikua na jinsi zaidi ya kuamua kurudi Street
[Chorus: Mzungu KICHAA]
Heeeey Lord
Hear my plea
I am living on the Streets
I have Nothing to eat
Heeey Lord
What shall I do?
Do I become a Hardcore Gangster
Or Get a Jobs within the Streets?
The richest man I see
He use drug right infront of me
Will I find JOY and Happiness
In Hustling and Struggling?
I want to build a Palace
And Marry my Princess
You gotta give me guidance
'Cause my patience is running Out
Fid Q ft. MZUNGU KICHAA - Hey Lord
View: https://m.youtube.com/watch?v=y_9L5tBXKNY&pp=ygULZmlkIHEgYWxidW0%3D