Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Habari wadau! Mimi sio mfiatiliaji sana wa muzik ila naukubali sana muzik hasa pale akili ikiwa imechoka naingia youtune kuchek video mpya ndan na nje ya nchi sasa kuna upuuzi nimegundua. Yaan...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa wale wapenzi wa nyimbo za dini njooni tule kionjo hiki. Nawatakieni siku njema.
2 Reactions
7 Replies
2K Views
MUUAJI MWENYE BARAKOA - 30 Sultan Uwezo [emoji1241]+255 764 857 776(wsp) Catherine akaona ashuke kwenye gari na kujificha ili ajue askari huyu anamfuatilia kwa lengo gani. Alifunga mlango baada...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
MUUAJI MWENYE BARAKOA - 29 Sultan Uwezo [emoji1241]+255 "Kwangu wewe ni sawa na Maadui wengine Catherine, kuna kitu ambacho ulikuwa hukijui bila shaka mama bibi yako hakuwahi kukueleza vizuri juu...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Sultan Uwezo 🇹🇿 +255 Mchungaji Rodney alisimamisha gari lake kando ya mto senegal na kisha akashuka chini taratibu akijikagua suruali yake ya kadeti ya kaki ambayo ilikuwa imechafuka sana...
3 Reactions
40 Replies
12K Views
Mi sio mchambuzi mzuri saaana wa hizi Bongo Fleva lakini naona Bwana Konde hapa kalazimisha tu. Angeacha tu Altitude ibaki vile vile. Kamuimbia Mh S.H.S Rais wa JMT vizuri kwa kumpa sifa, moyo...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa wale wapenzi wa burudani wafutiliaji mziki wa nje US na pande zingine duniani leo nataka kuwapa elimu hii. Kuna watu wanafatilia sana mziki wa nje nazungumzia Us wengi humu tuna wasanii...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo kipindi cha Planet Bongo huku Dj Summer na yale manjonjo yake balaa tupu kule Dula Planet mwenye Bongo yake mara paap nikasikia goma la Rayvanny na Zuchu Number One limechezwa hewani...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
nauliza wapi lilipo kundi la hawa wakali H.B.C(HARD BLASTERS CREW),kulikuwa na fanani,terry,na nigger j ,wapi lilipo hili kundi
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Good Doctor Native Title: 굿 닥터 Also Known As: Green Scalpel , Green Mass Director: Kim Jin Woo, Ki Min Soo Screenwriter: Park Jae Bum Genres: Romance, Life, Drama, Medical Country: South Korea...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nahitaji program itakayonisaidia kuandika nyimbo kwa staf notation pamoja na kupangilia sauti kwenye kwaya. Msaada tafadhali
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari waungwana wa JF. Nimekuwa mdau sana wa kucheki movie kwa mda mlefu tangu vidudu naweza sema hichi ndicho kilevi changu pendwa hasaaa. Kuna movie moja yakizungu sikubahatika kuijua jina na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
CHOMBEZO: PAULA MFARANSA MWENYE VISA SEHEMU YA KWANZA Mtunzi: Eng. Kimox Kimokole - 0786507507 Ni asubuhi njema sana yenye kajimvua ka kiaina kanakosababisha kuwepo na hali ya vuguvugu lenye...
8 Reactions
158 Replies
44K Views
MAMA USINIFUNDISHE UCHAWI. SEHEMU YA KWANZA “Mkoani Morogoro, wilaya ya Mvomero, kata ya Kibaoni, na kijiji cha Maharaka. Anga yote ilikuwa imetanda kuashiria mvua saa yoyote...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mangudu Digi... Dark Master Ngwair! Cowboys in the House! Maseeeela, {Maheeela} Cowboys in the House! Maseeeela, {Maheeela} C'mon, Cowboys in the... Maseeela! Nipeni, nipeni dili masela, Nipeni...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau wa Via Via tumeanza kupata taabu baada ya club yetu pendwa kufungwa. Kila siku ya Alhamisi tulikuwa hatukosi disco na kuvizia vimwana wa kizungu katika hali ya kushangaza majuzi Club...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
1. Wakuu sharti ni ziwe mobile games. Unapotaja aina ya game jaribu kutoa na source ya kulipata au ulivyolipata aidha ni Playstore, Appstore au Kwenye Browsers. 2. Pia unaweza kuweka link...
4 Reactions
151 Replies
25K Views
Najua kuna watu wanapenda kutengeneza beat za muziki zenye viwango vya juu kwa kutumia FL Studio. Hunabudi kuzijua plugins zitakazokusaidia katika hilo. Basi kama unataka kujua Plugins zenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hatuhitaji wanasiasa katika michezo kama waleice karia tunahitaji mtu sahihi anaefahamu nini maana ya michezo atakae jengo msingi ya michezo kuanzia huku chini huko AFCON NA WORLD CUP tutafika tu...
0 Reactions
1 Replies
896 Views
NITAKUUA MWENYEWE - 01 Sultan Uwezo Robinson aliamka asubuhi na mapema kuelekea shambani akiwaacha wazazi wake wakiwa bado wamelala, lengo likiwa kwenda kumalizia kieneo kidogo ambacho...
4 Reactions
22 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…