Fahamu kuhusu Charts za BILLBOARD

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,215
39,039
Kwa wale wapenzi wa burudani wafutiliaji mziki wa nje US na pande zingine duniani leo nataka kuwapa elimu hii.

Kuna watu wanafatilia sana mziki wa nje nazungumzia Us wengi humu tuna wasanii tunawakubali na tunafatilia mzki wao sana. Sasa kuna chats za BILLBOARD ambazo hutolewa kila jumatatu lakin wengi hawajui zinaandaliwaje hapa nitabase na “Billboard Hot 100” na “Billboard 200 album charts”

1.BILLBOARD HOT 100
Hii ni chat ambayo huzikutanisha ngoma kali za wasanii ambazo zinafanya vizuri kwa industry. Billboard wanatumia vigezo vitatu (3) “METRICS” kwenye chat hii (1) STREAMS (2)DIGITAL SALES (3) RADIO PLAY / AIRPLAY

Tunavyozungumzia streams kama tunavofaham kwa sasa streaming imekuja juu sana yote ni ukuaji wa teknolojia tuna digital streaming platforms nyingi sana kwa sasa mf, spotify, apple music, tidal, deezer, youtube, sound cloud, good news kwamba mwakaa huu apple waliatangaza wataanza ku count na audimack.

Billboard wana deal na digital platforms ambazo zinajulikana na zimesajiliwa. Ni kivipi point zinatolewa kwenye streams?? Platform nyingi za streaming zinalipiwa mtu anapata huduma ila analipia kwa mwezi, pia hzi platforms kwa mtu anaejiunga anapewa offer ya 3months then anaanza lipia huduma. Sasa Billboard wanatoa point kubwa kwa paid streams na ambazo hazijalipiwa hapa wanagawanya point, hapa streams za youtube, audimack na soundcloud zinahusika.

2. DIGITAL SALES
Billboard wanaangali nyimbo imenunuliwa au kupakuliwa mara nyingi kushinda wenzie kwa counting week. Hapa tunakuta kuna itunes na amazon hawa ndo mabingwa wa digital sales. Ila kwa sasa digital sales haifanyi vzr kutokana na maendeleo ya streaming platforms sahv mtu anaweza save for offline na aka listen.

3.RADIO PLAY/ AIRPLAY
Hapa wanaangalia ngoma iliyosikilizwa au kupigwa sana na radio kumbuka USA kuna radios nyingi sana so kila radio huwa wanatuma list ya ngoma iliyopigwa sana, requested sana na wasikilizaji. Kwenye airplay hapa tunazungumzia mfano shazam ngom ambayo imekua shazamd sana.

Sasa ngoma itakayofanya vzuri kwenye hzo metrics zote 3 inakua na nafas ya kuwa no.1 point huwa zinatolewa kutokana na hzo metric 3 so mwenye point kubwa ndo anashika. No1.

Mfano Billboard hot 100 ya week hii ngoma ya Polo G “RAPSTAR” imeshika no1 kwa week ya pili mfululizo.
IMG_3136.jpg

Next time nitakuja na uzi jinsi ALBUM zinavyo kuwa counted, na wasanii wanaoshikilia rekodi za kipekee kwenye Billboard hot 100.
 
Una madini, ila mtu anayeweza kukuelewa inabidi awe mfatiliaji.

Mtu wa kawaida ni ngumu kukuelewa kiufasaha.
 
Mkuu nimekuelewa

Ila hapo kwenye radio airplay kuna hii MCR Data ambayo ina teknolojia ya Nielsen Soundscan inayotrace ni nyimbo gani zimesikilizwa sana marekani kwa wiki nzima.

Nadhani hata Bongo tunayo sems sina uhakika sana
 
Nielsen ndo kila kitu wanapima hadi uzito wa streams wenzetu wapo vzr
 
Kwa wale wapenzi wa burudani wafutiliaji mziki wa nje US na pande zingine duniani leo nataka kuwapa elimu hii.

Kuna watu wanafatilia sana mziki wa nje nazungumzia Us wengi humu tuna wasanii tunawakubali na tunafatilia mzki wao sana. Sasa kuna chats za BILLBOARD ambazo hutolewa kila jumatatu lakin wengi hawajui zinaandaliwaje hapa nitabase na “Billboard Hot 100” na “Billboard 200 album charts”

1.BILLBOARD HOT 100
Hii ni chat ambayo huzikutanisha ngoma kali za wasanii ambazo zinafanya vizuri kwa industry. Billboard wanatumia vigezo vitatu (3) “METRICS” kwenye chat hii (1) STREAMS (2)DIGITAL SALES (3) RADIO PLAY / AIRPLAY

Tunavyozungumzia streams kama tunavofaham kwa sasa streaming imekuja juu sana yote ni ukuaji wa teknolojia tuna digital streaming platforms nyingi sana kwa sasa mf, spotify, apple music, tidal, deezer, youtube, sound cloud, good news kwamba mwakaa huu apple waliatangaza wataanza ku count na audimack.

Billboard wana deal na digital platforms ambazo zinajulikana na zimesajiliwa. Ni kivipi point zinatolewa kwenye streams?? Platform nyingi za streaming zinalipiwa mtu anapata huduma ila analipia kwa mwezi, pia hzi platforms kwa mtu anaejiunga anapewa offer ya 3months then anaanza lipia huduma. Sasa Billboard wanatoa point kubwa kwa paid streams na ambazo hazijalipiwa hapa wanagawanya point, hapa streams za youtube, audimack na soundcloud zinahusika.

2. DIGITAL SALES
Billboard wanaangali nyimbo imenunuliwa au kupakuliwa mara nyingi kushinda wenzie kwa counting week. Hapa tunakuta kuna itunes na amazon hawa ndo mabingwa wa digital sales. Ila kwa sasa digital sales haifanyi vzr kutokana na maendeleo ya streaming platforms sahv mtu anaweza save for offline na aka listen.

3.RADIO PLAY/ AIRPLAY
Hapa wanaangalia ngoma iliyosikilizwa au kupigwa sana na radio kumbuka USA kuna radios nyingi sana so kila radio huwa wanatuma list ya ngoma iliyopigwa sana, requested sana na wasikilizaji. Kwenye airplay hapa tunazungumzia mfano shazam ngom ambayo imekua shazamd sana.

Sasa ngoma itakayofanya vzuri kwenye hzo metrics zote 3 inakua na nafas ya kuwa no.1 point huwa zinatolewa kutokana na hzo metric 3 so mwenye point kubwa ndo anashika. No1.

Mfano Billboard hot 100 ya week hii ngoma ya Polo G “RAPSTAR” imeshika no1 kwa week ya pili mfululizo.
View attachment 1770156

Next time nitakuja na uzi jinsi ALBUM zinavyo kuwa counted, na wasanii wanaoshikilia rekodi za kipekee kwenye Billboard hot 100.
Mkuu, hii nimeilewa sana hakika umezungumza kila kitu. Big up sana
 
Back
Top Bottom