MARVEL FANS: TUKUTANE HAPA

MARVEL FANS: TUKUTANE HAPA

mike2k

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
1,650
Reaction score
3,644
baada ya kutoa movie nzuri sana ya avenger:endgame.. Kwa sasa tuisubirie Spiderman:far from home
 
Attachments

  • MCU_Films_Logos.jpg
    MCU_Films_Logos.jpg
    96.3 KB · Views: 58
Hizi movie huwa sizielewi kabisa ila watoto wangu huwambii kitu hasa Ile Thor (wenyewe wanamwita Mr nyundo) na infinity war.
Hata hii end game itabidi niwatafutie ikishatoka Kwenye full HD
 
Marvel's ndio Tycoon wa muvi duniani hill halina ubishi.. Storyline zake zimekaa bomba.. Ilinibid Kutoa 15000/= kwenda kuicheki Endgame Cinema..!!
Muvi ya Avangers Infinity na Thor Ragnarok maneno yote wanayoongea mwanzo mwisho ninayo kichwani...
 
Kuna Ile nyingine inaitwa black panther hii kidogo nimeipenda
 
Uliipenda kwakua inazungumzia weusi wenzio pia story iko poa.
Ila ukitaka uone mapambano mazuri ya Black panther angali Captain America Civil War na Avenger Endgame. Fight skills sake ziko bomba sana

me pia n fans wa hizo movie aiseee
 
Anayenifuraisha kuliko wote katika marvel cinematic Universe ni THE GROOTS rafiki yakena RACOON ROCKET(fox). HAWA MARVEL WAMEJIPANGA HASWA.ideas zao sijui wanatoa wapi?
 
Attachments

  • grootfrommarvel-20190523-0001.jpg
    grootfrommarvel-20190523-0001.jpg
    107.7 KB · Views: 63
Da'Vinci huyo Robert Downey Jr ndio sababu ya watu kuwapenda marvel jinsi anavyoongea
yupo serious kiasi cha kwamba alimbatiza hadi spider man

ndege JOHN ulimwengu huu nipo ila ndio hivyo sipendagi kuandika andika humu
 
Anayenifuraisha kuliko wote katika marvel cinematic Universe ni THE GROOTS rafiki yakena RACOON ROCKET(fox). HAWA MARVEL WAMEJIPANGA HASWA.ideas zao sijui wanatoa wapi?
The groots sauti yake inaingizwa na vin diesel kama sikosei
 
Marvel Ile wanaanza tu na iron Man mi nikawa big fan wa tony
kwenye mambo ya serious ye analeta mzaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani bila tony avengers isingekuwepo
Thanos nae angekuwa kwenye bustani yake ya maboga kashaugeuza nusu ya uliwengu mchanga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila nimeumia mno tony alivyojitolea
Bora angekufa captain marvel
Captain America nae kashazeeka full majanga utamu wa zamani wote umepotea[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Bila kumsahau black widow [emoji37][emoji37][emoji24][emoji24][emoji24]
Kweli mkuu umeumia... Id yako yenyewe ya muhuni Tony.

Mimi pia nimeumia kumpoteza Stark. Nikimkubari toka Iron Man ya kwanza. Nilitumai labda Loki angerudi lakini hola.

Ngoja niendelee kumfuatilia Thor huko kwenye muendelezo wa Guardians of the Galaxy.
 
Jiandae na Thor 4

R.I.P tony my best super hero
 
Back
Top Bottom