LADY JAY DEE "Binti machozi" imara sana

Oct 26, 2021
98
287
Appreciation thread kwa JIDE JAY DEE
Ni msanii pekee ambaye amemudumu beef na redio pia vituo vya television bila uwepo wa mitandao (Instagram, Facebook, wala Twitter au Tiktok) na bila kupotea kwa kusimama imara kama chuma. Wasanii wengi walioingia beef na kituo chochote cha Redio au Televison wakati mitandao haijataamaki wengi wao walipotea kimziki na kusaulika. Na wengine walioingia kwenye mabeef na vituo vya redio na television wamepata sana sapoti ya mitandao uku wakitengeneza pages (Fan base wao) za kuwatetea na kupush kazi zao

Ni Binti Machozi, Komandoo ambaye aliingia beef na vituo vikubwa vya habari na kupelekea kutocheza kazi zake ila bado hakupotea kimziki. Tunamzungumzia komando ambaye anazaidi ya miaka 20 kwenye game ya Bongo Fleva.

Wasanii wa sasa wengi wao ambao walikuwa wakiingia beef na vituo tofauti tofauti vya habari wengi wao walizitumia kurasa zao (Platforms) za mitandao ya kijamii kupush kazi zao. Alisikika meneja wa msanii mkubwa hapa Tanzania jina kapuni akisema baada ya kituo kikubwa kuacha kupiga nyimbo za msanii wake njia pekee ilibaki kama mbadala ni kuteka mitandao ya kijamiii ikiwemo Instagram, Youtube asa wakati huo kabla hawajambumbuluka na Spotify na walifanikiwa. Ebu sasa fikiri msanii kama huyu angekuepo kipindi iki cha Jide Komandoo ingekuaje?!!

Salute to Jay Dee/ Jide Komandoo Binti Machozi
 
Na ameirudisha nyumbani lounge aiseee mgahawa wake
 
Back
Top Bottom