msangi360
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 283
- 308
Naomba niwasalimu wote mliomu humu... Kwanza kabisa naomba niwape taarifa ya juu ya mchezo wa leo kati ya Simba na Yanga.
Kuna njia nyingi huwa zinatumika kupanga matokeo katika michezo hasa mchezo wa soka.
Ila kwa leo naomba niwashirikishe baadhi ya njia ambayo naifaham ya kutabiri matokeo ya mpira wa miguu.
Note: AMINI KWANZA NJIA HII.
===>tuanze sasa.
Unapaswa kufaham tarehe ya mechi husika. Leo ni tareh 25/02/2017
Unapaswa kujua vizuri hesabu za namba za alphabet. Yani A=1, S=19, Z=26 nk
Ukishapata namba nzur upande wowote ule ndio uanze kujumlisha na tarehe
Unapaswa kujua namba nzuri na mbaya ni zipi. Nzur ni 2,4,6 nk mbaya ni 1,3,5 nk
Note:-MWENYE NAMBA NZURI NDIO MSHINDI.
Tuanze:- Simba vs Yanga
S=19. Y=25
=1+9 Y=2+5
=10. Y=7
=1
Bado hamna namba nzuri, tunaendelea
Si=19+9. Ya=25+1
=28. =26
=2+8. =2+6
=10. =8
=1.
Ukiangalia hapo tumeshapata namba nzuri ambayo ni 8, hivo tunaanza hesabu ya kujumlisha na tarehe ya leo.
25/02/2017= 25+02+2017
=2044
=2+0+4+4
=10
=1
Tumeshapata matokeo ya tarehe ya leo. Kinachofata ni kujumlisha na namba tuliozipata juu.
Simba=1. Yanga= 8
Tunajumlisha na namba ya tarehe kila upande.
Simba=1+1. Yanga=8+1
=2. =9
Mwenye namba nzuri ndio mshindi.
Hivo katika mechi ya leo kati ya Simba na yanga, matokeo ya mechi ya leo ni Simba mshindi.
SIFUNGAMANI NA UPANDE WA TIMU YOYOTE KATI YA HIZI.