Diamond platnumz

Diamond platnumz

Diamond platnumz anachowazidi wasanii wengine wa bongo ni kufanya promotion kwenye kazi zake jamaa anafanya poa sana ndio maana nyimbo zake zinafika mbali.
Si anampiga pumbu Zuchu, kwa vyovyote atakuwa kishamchoka by now atatafuta demu mwingine aanze kumchafua kisha aandikwe mitandaoni na kukuza zaidi viewers YouTube. Walio karibu na Zuchu wanashindwa nini kumshauri huyu mtoto, analostishwa tu.
 
SHITHEAD
 
Diamond platnumz anachowazidi wasanii wengine wa bongo ni kufanya promotion kwenye kazi zake jamaa anafanya poa sana ndio maana nyimbo zake zinafika mbali.

anajua marketing ila anachoimba hakuna, i will be honest EP yake hakuna nyimbo kali inayokaribiana na bwana mdogo au utu.. HAKUNA
 
anajua marketing ila anachoimba hakuna i will be honest EP yake hakuna nyimbo kali inayokaribiana na bwana mdogocau utu.. hakuna
Mkuu diamond yuko kwenye business wise yeye anatoa kile kinachohitajika na mlaji
 
Back
Top Bottom