Ricky and Morty kutoka Adult swim ni one of the best animation

Jorge WIP

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
3,567
5,288
Hii Tv show imekuwa created na Justin Roiland and Dan Harmon.

Ni kati ya zile animation bora binafsi naikubali yani haipiti week sijarudia hata episode 1, iko full package ni Dark, funny, dramatic, Sci-Fi etc...at the same time ina zile pop culture references ambazo ukiwa unazielewa utacheka ufe, ukiwa average utaenjoy na ukiwa smart ndio utaenjoy zaidi maana kuna crazy science stuffs kibao. Hapa ni Baadhi ya Favorite lines ambazo nazikubali mfano hii dialogue

Summer: “how much did we make?”

Devil: “No this is my business”

Summer: “anhh are you Zuckerberging me” aki
refer jamaa wa facebook na ile case yake

Devil: i was Zuckerberging people before Zuckerberg balls dropped, bitch am the devil”

Pia Kuna appearance za watu maarufu Kama Elon Musk kuna episode moja alikuwa special guest na aka make appearance akaingizia sauti yeye mwenyewe alikuwa kama Elon Tusk

Kuna hii hapa line
“Listen, Morty, I hate to break it to you, but what people call love is just a chemical reaction that compels animals to breed. It hits hard, Morty, then it slowly fades, leaving you stranded in a failing marriage”

Gazoprpian Lady
“Give the people of earth a spaceship so they can head back home to their weird planet where men and women are equal which actually not real”
Hapa umemsoma anachomaanisha feminist wasije juu

Kuna Dialogue kali Kibao najua kuna wengi wameicheki hii Masterpiece hebu ongeza na ww favourite episode na Dialogues zake hapo
 
Dah, atleast kuna Mtanzania mwenzangu ambae anaipenda hii animation pia. Mzee Rick ni bonge moja la character. Hiyo episode anayo ondoa curse kwenye objects za shetani ni moja ya episode ninayo ipenda sana

Eeh ndg yangu ile animation wameitengeneza aisee, Duh bora nimekutana na shabiki mwenzangu maana dah you can tell from the number of replies
 
The Simpsons
Bobs Burgers
Family Guy
American Dad
Kuna hizi nyingine mkuu hawa jamaa ni mabingwa wa dark humor.

Na pia Boondocks, mle mle unajua aisee hawa jamaa ndio wanaweka stereotypical jokes bila kuogopa
Kama Family guy aisee wanavyowananga hao celebrities

are you sure we’re not related usiwe yule long lost sibling
 
Rick anakwambia " To live is to risk it all otherwise you're just an inert chunk of molecule waiting for the universe to take you wherever"
Jamaa Rick Sanchez namkubali sana argument zake zipo opposite na general ila ana make sense

Exactly argument zake ziko nondo, hapo anampiga dongo Jerry
 
Na pia Boondocks, mle mle unajua aisee hawa jamaa ndio wanaweka stereotypical jokes bila kuogopa
Kama Family guy aisee wanavyowananga hao celebrities

are you sure we’re not related usiwe yule long lost sibling
Jamaa wako talented sana mkuu,halafu wenzentu hizo stereotypical jokes wanachukulia poa tu ingekua kwetu huku balaa hawachagui dini race wala disability.
We have a lot in common tu bro
 
Back
Top Bottom