The legend burial sehemu ya kwanza

The legend burial sehemu ya kwanza

assassin eagle

Senior Member
Joined
Apr 23, 2022
Posts
113
Reaction score
451
Hadithi hii ni ya kweli Kuna vitu vingine siyo halisi imebidi niviweke ili kuleta radha pia mimi sio mwandishi ila nimeweka tu kwa lengo la kujifunza na kutoa mafunzo kwa jamii

ilikuwa siku ya tarehe 6 ya mwanzo wa mwezi Kijiji Cha chali sanga dodoma kulikuwa na mnada au ukipenda unaweza kuita gulio kijana mfanyabiashara hamis denge alikuwa kwenye mshangao mkubwa alikuwa anashangaa kijana mmoja aliyekuwa anabeba mizigo mnadani hapo jinsi kijana huyo alivyokuwa anapiga kazi zake lakini pia mwili wa mazoezi wa kijana huyo huyu si mwingine Bali ni kijana mgoha ,mgoha ni kijana mchapakazi na ni mwenyeji wa hiko Kijiji Cha chali sanga ,hamisi denge aliendelea kumwangalia kijana uyu mpaka kijana alivyomaliza kufanya kazi zake baadae alipiga hatua kumfuata kijana uyu .....
Itaendelea
 
Nasubiri mwendelezo ndugu mbona unanitesa na mawazo?
 
Back
Top Bottom