Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Habari za asubuhi waungwana. Ni siku mpya tena ya kuwajibika. Leo nimeamka na mzuka wa kusikiliza nyimbo za huyu mwamba, aliyetikisa miaka ya 90. Alibamba na nyimbo kama Elizabeth, inde monie...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Wadau wa michezo, weekend hii tutashuhudia game za kibabe katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika sambamba na ile ya Kombe la Shirikisho. Pamoja na kuwa game nyingi ila hapa mimi nitajikita katika...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Hope wote mmeamka salama.Kwa wale wenye changamoto poleni.Mungu awe faraja kwenu. Mimi ni mpenzi sana wa kusoma historia mbalimbali hasa hasa zinazoohusu OPERATIONS ZA KIJASUSI.Saivi nipo likizo...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Nilimfahamu gafla bin vuu kupitia Rafik yangu (kibandike), wengi tulipenda kumwita aa Kiba. Gafla bin vuu ana Mixtape 3 Ujio wa mimi na upweke Mapishi ya Upendo Zamani July Nyimbo zake nyingi...
0 Reactions
3 Replies
920 Views
Aisha, Aisha, Aisha Mzuri kama kachorwa Body kakupa Mola I'm like my oh my Macho yake yanavyong'aa Just like a candle light Lips zake zilivyo lowa Akizing'ata, like my oh my Ngozi yake...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukweli japo ni mchungu lakini ni tiba tosha ya maradhi ndugu zetu wa upande wa pili yaani Simba SC kuna kitu kinachowatafuna ambacho mpaka sasa hawakijui wanakimbilia kuwatuhumu makocha, wachezaji...
1 Reactions
2 Replies
414 Views
Nimeiskiliza hii ngoma yake mpya ya single again naona kijana yupo vizurii
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ukweli japo ni mchungu lakini ni tiba tosha ya maradhi ndugu zetu wa upande wa pili yaani Simba SC kuna kitu kinachowatafuna ambacho mpaka sasa hawakijui wanakimbilia kuwatuhumu makocha, wachezaji...
0 Reactions
1 Replies
368 Views
Ukweli japo ni mchungu lakini ni tiba tosha ya maradhi ndugu zetu wa upande wa pili yaani Simba SC kuna kitu kinachowatafuna ambacho mpaka sasa hawakijui wanakimbilia kuwatuhumu makocha, wachezaji...
0 Reactions
0 Replies
322 Views
Shirikisho la soka Afrika (CAF) limeshauri kutotumika Dimba la Benjamin Mkapa ili kufanyiwa marekebisho kwa kile wanachodai kuwa eneo la kuchezea (pitch) limeharibika. Baada ya mchezo wa Ligi Kuu...
0 Reactions
1 Replies
519 Views
najua bongo hapo jpili ishaingia..pitisha siku kwa lovers rock reggae.http://youtu.be/cz9Hoh5B9Qw
1 Reactions
50 Replies
11K Views
Wimbo mpya wa Darassa leo kaachiaa video intro ..so tukae mkao si ndio Imeandaliwa na Kimodomsafi
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Wadau naomba mwenye uelewa juu ya hii ishu anisaide,najua jinsi ya kudownload subtitle kupitia vlc media lakin nahitaji kuweka iwe ya moja kwa moja yaani ata nikimpa mtu mwingine au nikiangalia...
0 Reactions
1 Replies
849 Views
NTAGAMBI.......01 Mtunzi; Lovi Pius Kijogoo. 0757 23 304. Tanga. SEHEMU YA KWANZA. Upepo ukiwa unapuliza, vumbi lilitimka. Nyumba dhaifu zililalamika, kulia na kushoto miti ilipelekwa kwa...
5 Reactions
59 Replies
25K Views
Baadhi ya wadau walisifia Sana serial ya money heist nikaona isiwe taabu Acha niitafute nione kama hiyo ladha yake itafanana na prison break na 24 lakini cha ajabu humo ndani ilijaa ujinga mwingi...
20 Reactions
88 Replies
7K Views
Kati kila fani kuna wenyewe sikuhizi simulizi, au story za kusimulia kwa mfumo wa sauti zimekua maarufu sana hususan huko YouTube Kati ya Jamal April wa the story book, Ananias Edgar huyu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
CLICKBAIT Series nyingine ya kiume hii hapa. Humu kuna jamaa anaitwa Brewer, siku ya birthday ya mama yake, kukatokea kaugomvi kadogo tu na mdogo ake, Pia, so dogo akasepa. Kesho imefika, watu...
23 Reactions
177 Replies
28K Views
Kisa hiki kinapatikana kwenye kitabu Unyonge wa Mwafrika. Chai ya Kandambili Wakati mmoja nilipata kuwa Karani Mkuu wa Boma, wenyewe humwita Chief Clerk. Chief Clerk enzi za mkoloni mtu mkubwa...
3 Reactions
7 Replies
632 Views
Habari Sasa hivi katika android na iOS wanatuletea games zenye graphic kali kama kwenye PC vile haya hapa chini ni majina ya games kali za kwenye simu za android na iOS Number one ni truckers of...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Hello bosses, Kwanza niwe mkweli tu, napenda sana movie za martial arts na ujasusi. Hii Drama ya Princess Agents ni tofauti kabisa na drama za kichina zilizokuwa zimezoeleka. Baada ya kuangalia...
1 Reactions
3 Replies
635 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…