Msaada jinsi ya kuunganisha subtitle kwenye movies iwe permanently

Jun 25, 2021
44
27
Wadau naomba mwenye uelewa juu ya hii ishu anisaide,najua jinsi ya kudownload subtitle kupitia vlc media lakin nahitaji kuweka iwe ya moja kwa moja yaani ata nikimpa mtu mwingine au nikiangalia kupitia kifaa kingine kama tv ile movie husika icheze na subtitle yake
 
Back
Top Bottom