Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Netflix ni propaganda ya mlengwa wa kushoto wa kuigeuza dunia katika suicidal empathy juu ya upinde, kama uongo kagua shows mule ndio utaamini
6 Reactions
17 Replies
339 Views
Uenda maendeleo ya teknolojia, uwingi wa Smartphones, Online media, Podcasts kwa namna moja ama nyingine kumeathiri Programms nyingi za Main Streams kwa kiasi kubwa, kuna idadi kubwa ya watu...
1 Reactions
15 Replies
453 Views
Baada ya miaka 44 ya kuiburudisha dunia, hatimae MTV imesalimu amri mbele ya YouTube na TikTok. Soma zaidi... https://www.instagram.com/p/DS-AHXHFF22/?igsh=a29rb2JwZHJqbHZ3
3 Reactions
3 Replies
191 Views
"Leo" by Harmonize featuring Mbosso, produced by Mafia, is a heartfelt Bongo Flava love anthem that captures the raw honesty of falling deeply for someone at the most unexpected time. Harmonize...
3 Reactions
32 Replies
690 Views
Filamu zangu za mwaka ni; 1. Superman(2025) Wamemuonesha superman kwa usahihi kama alivyo kwenye vitabu. Mpole, anayejali watu na ni ishara ya matumaini. 2. Mickey 17(2025) Inaelezea vizuri...
7 Reactions
38 Replies
1K Views
Aisee kuna hii nyimbo inaitwa; “Sasa ni lunch time tufunge makazi,” nikiisikia lazima nipate hamu ya kula! Plus kuna nyimbo za marehemu; Siri ya nini Sarafina Kachichi Hizi nyimbo hazinitoki.
5 Reactions
62 Replies
7K Views
Chombezo : Beki Tatu Mcharuko Sehemu Ya : Kwanza (1) “Shogaa yule mfanyakazi nimeshampata ni wewe tu uje kumchukua maana kadada kenyewe kamekaa kazungukazungu kasije kuniibia mume haka.” “Mhhh...
5 Reactions
25 Replies
36K Views
TAARIFA KWA UMMA KUANZA KWA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA KAMATI YA KITAIFA YA TUZO ZA MUZIKI TANZANIA (TMA) Baraza la Sanaa la Taifa linapenda kuufahamisha umma wa Watanzania na wadau wote wa...
1 Reactions
2 Replies
933 Views
Huyu hapa msanii kipenzi cha Gen Z, akitumbuiza goma lake pendwe la "mshike kende, bonyeza pembe, kende ndende ndendeee". show ilipigwa Maeneo ya Gaza kimara
0 Reactions
1 Replies
217 Views
https://jumpshare.com/s/BPRuo4CnmKJMIEkfPZe4
0 Reactions
0 Replies
123 Views
Kuanzia tarehe moja August taanza likizo ya mwezi mmoja, nimeplan kufanya road trip kuanzia Dar - Moshi - Arusha - Babati-Mara- mwanza-Geita-Kagera...
1 Reactions
8 Replies
444 Views
Wadau nataka kufahamu tu nani alikuwa nyuma ya kazi njema za huyu mrembo Ray c kama vile Na wewe milele, umenikataa n.k
3 Reactions
36 Replies
650 Views
THE JOURNALIST (TONE LA DAMU) AMANI KILONZO!!!!!... Ni jina ambalo lilikuwa alama ya ushindi, lilikuwa ni jina maarufu ambalo kila mwandishi wa habari pamoja na waandishi wote walikuwa...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Wana jamii wenzangu naombeni tafsiri ya ile T-shirt ya mwakinyo. Kwanini upande wa mbele na upande wa nyuma aweke picha tofauti.!?
1 Reactions
21 Replies
811 Views
Habari wana Jamiiforums, Karibuni kusikiliza EP yangu mpya niliyotengeneza Kwa AI inaitwa Street codes, Ngoma Karibu zote ni melodic rap Track 1: Hustle everyday Track 2: life is simple...
1 Reactions
0 Replies
117 Views
Nyote mnaopenda riwaya pendwa nadhani mnawajua Joram Kiango ambaye alikuwa muhusika wa mwandishi Ben R Mtobwa, huku Willy Gamba akiwa muhusika wa Elvis Musiba. Hawa walikuwa wanabaadhi ya sifa...
6 Reactions
49 Replies
732 Views
Nikiri wazi: tangu nimeacha kusikiliza muziki wa hawa wasanii chawa, moyo wangu una amani sana. Nimengundua muziki wa zilipendwa umejaa madini na hekima nyingi sana, usiochosha kusikiliza. Muziki...
1 Reactions
1 Replies
156 Views
Habari wanajamvi! Nakumbuka mwishoni mwa miaka ya 80, nilibahatika kusoma riwaya moja ikijulikana kwa jina la PETE. Nahisi ni riwaya ya kimkondo wa Kifalsafa. Ninachokumbuka kwa haraka ni kuwa...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Watu wengi wamekua wakiuskiliza huu na umewahudumia sana lakini bila kujua ukweli ya kuwa huu wimbo umetengenezwa kwa AI. Ukiangalia kuanzia mpangilio wa sauti, mguso wa hisia na namna ulivyokaa...
4 Reactions
5 Replies
449 Views
“Watu waliopiga kura milioni 31 wameshindwa hata ku-view nyimbo za wasanii wao 😂😂 Demokrasia online imegoma kufanya kazi 🤣” WE NANI ANA NAMBA ZA MAMA AMPIGIE KUNA WATU WANAVIPAJI VYA...
4 Reactions
7 Replies
222 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…