Mwanamuziki gani wa Marekani anaweza kushindana na Chris Brown kwa hits?

xavihernandezalcantara

Senior Member
Nov 17, 2020
124
250
Hivi kuna mwanamuziki gani pale America anaweza kubattle na Chris Brown kwenye Hits?

Yani anaweza kuwa na hits kali kumzidi Chris Brown (kwa wale wanaoimba)?

96AD878A-8AFF-44BC-9266-B01143F37A47.jpeg
 
Page 94

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
4,446
2,000
Mhmhmh!

Unasemaje hii ni hit kali? Kwa uelewa wangu mdogo juu ya muziki, ili wimbo uwe ni hit kali basi uwe 'streamed' katika mitandao kwa kiasi kikubwa. Ushike namba za juu katika Chats za Billboard huko Marekani.

Na pia, upate tuzo nyingi katika mwaka husika kutoka kwa watayarishaji mbalimbali.

Sasa je, Chris Brown hivi karibuni katoa nyimbo zipi ambazo zinasumbua sana? Mara yake ya mwisho kushinda tuzo ni lini na kwa wimbo upi?

Anajitahidi, lakini bado.
 
xavihernandezalcantara

Senior Member
Nov 17, 2020
124
250
Mhmhmh!

Unasemaje hii ni hit kali? Kwa uelewa wangu mdogo juu ya muziki, ili wimbo uwe ni hit kali basi uwe 'streamed' katika mitandao kwa kiasi kikubwa. Ushike namba za juu katika Chats za Billboard huko Marekani.

Na pia, upate tuzo nyingi katika mwaka husika kutoka kwa watayarishaji mbalimbali.

Sasa je, Chris Brown hivi karibuni katoa nyimbo zipi ambazo zinasumbua sana? Mara yake ya mwisho kushinda tuzo ni lini na kwa wimbo upi?

Anajitahidi, lakini bado.
Point nayo
 
Ellon

Member
Jan 7, 2021
80
150
Ufuatilii mziki, Criss zilipendwa na wakina Usher wote zilipendwa mziki uko hivi mfano nitolee kwenye Movie industry ukimuuliza ambae hafuatilii Movie akutajie maStar wa movie atataja Vandame, Anolrd nk ila kwa aliye update atakwambia Tom Cruise, Ronald nk, kwanini kwasababu hawa wakina Vandame walikuwa kipindi ndio movie zinaRise duniani na kwenye mziki hivyohivyi kwasasa ukizungumzia mziki kama USA utataja The Weekend nk.
 
hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
42,707
2,000
Mhmhmh!

Unasemaje hii ni hit kali? Kwa uelewa wangu mdogo juu ya muziki, ili wimbo uwe ni hit kali basi uwe 'streamed' katika mitandao kwa kiasi kikubwa. Ushike namba za juu katika Chats za Billboard huko Marekani.

Na pia, upate tuzo nyingi katika mwaka husika kutoka kwa watayarishaji mbalimbali.

Sasa je, Chris Brown hivi karibuni katoa nyimbo zipi ambazo zinasumbua sana? Mara yake ya mwisho kushinda tuzo ni lini na kwa wimbo upi?

Anajitahidi, lakini bado.
Criss wanamfanyia mtima nyongo tu ..kwakuwa alimdunda Rihanna ... Lakini kwa uwezo hakuna msanii anayemfikia kwa kuimba kwa Sasa ... Imagine eti hata the weekend unakuta anaongoza kukaa ktik chat za muziki kuliko ngoma za criss brown Sasa hicho si kichekesho
 
xavihernandezalcantara

Senior Member
Nov 17, 2020
124
250
Criss wanamfanyia mtima nyongo tu ..kwakuwa alimdunda Rihanna ... Lakini kwa uwezo hakuna msanii anayemfikia kwa kuimba kwa Sasa ... Imagine eti hata the weekend unakuta anaongoza kukaa ktik chat za muziki kuliko ngoma za criss brown Sasa hicho si kichekesho
Breezy hatari mno,sema huyo The Weeknd nae mh sauti amaizing(michael jackson)

Ila Brezy habari nyingine nionavyo
 
Mhadzabe

JF-Expert Member
May 20, 2009
2,984
2,000
Hivi kuna mwana muziki gani pale America anaweza kubattle na Chris Brown kwenye Hits. Yani anaweza kuwa na hits kali kumzidi Chris Brown. Kwa wale wanaoimba.
๐Š๐ข๐ฅ๐š ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ฆ๐ฎ๐ณ๐ข๐ค๐ข ๐ง๐š ๐ณ๐š๐ฆ๐š ๐ณ๐š๐จ!
๐–๐š๐ฅ๐ข๐ค๐ฎ๐ฐ๐ž๐ฉ๐จ ๐ค๐ข๐ง๐š ๐’๐ข๐ฌ๐ช๐จ
๐”๐ฌ๐ก๐ž๐ซ ๐‘๐ฒ๐ฆ๐จ๐ง๐
๐‰๐จ๐ž ๐“๐ก๐จ๐ฆ๐š๐ฌ
๐‘๐‹
๐Š๐œ&๐‰๐จ๐ฃ๐จ
๐๐จ๐› ๐๐ซ๐จ๐ฐ๐ง
๐Œ๐ข๐œ๐ก๐š๐ž ๐‰๐š๐œ๐ค๐ฌ๐จ๐ง
๐“๐ฒ๐ซ๐ฌ๐ž
๐๐š ๐ฐ๐ž๐ง๐ ๐ข๐ง๐ž ๐ค๐ข๐›๐š๐จ. ๐„๐ง๐ณ๐ข ๐ณ๐š๐จ ๐ฐ๐š๐ฅ๐ข๐ค๐ฎ๐ฐ๐š ๐›๐จ๐ซ๐š ๐ค๐ฎ๐ฅ๐ข๐ค๐จ ๐‚๐ซ๐ข๐ฌ๐ฌ๐๐ซ๐ข๐ณ๐จ๐จ๐จ
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom