Wale wenzangu na mie tunaochungulia Kenya kwenye tasnia ya muziki, hasahasa muziki wa hawa malijendari Sauti Sol tukutane hapa:
(a) Tujuzane the best song of each one humu jf. Kwa kuanzia napenda...
Hii ni simulizi ya yaliyomtokea mtoto wa marehemu rafiki yangu Mwinyi Mkila wa Bagamoyo.
***********
1. ALFA
Nilifahamiana na Mwinyi Mkila katika harakati za kutafuta shamba Bagamoyo na hatimaye...
Yaani nimekaa mahala unapigwa wimbo wako unaitwa "HONEY"aisee ni mbayaaaa....najua utavuma Kwa vile wabongo tuna hulka ya kupenda vitu vya hovyo hovyo.
Hivyo tu.
Maulid njema wapendwa ndg zangu Waislam. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mkuu. Ila tunamchosha Kwa kutokuchungulia fursa alizotupatia.
The Ramadhan Brothers wamefanikiwa kuchukua nafasi ya 5. Ni...
Hii ni orodha tukufu ya makundi yaliyoweka alama kwenye muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania. Nyimbo zao zikipigwa hadi leo zinasisimua.
1. Hard Blasters Crew (HBC)
Kundi liliundwa na Profesa...
SEHEMU YA 1
A. NINAITWA MTUMISHI PAPA
Mtumishi Papa:
Penny wewe unapenda stori jaman sijakuona sikunyingi ujue!
Money Penny: basi tukasalimiana hapo wee tukajikumbushia ya zamani akyanani...
Kuna mengi naweza kuyasahau kati ya yale niliyopata kuyasikia na kuyafanya katika utoto wangu, hasa katika kipindi nilipokuwa shule za awali, msingi na sekondari. Hata baadhi ya majina na sura za...
Kuna hiyo series ya kituruki ninahiitaji mno…. Nimeitafuta bila mafanikio sijapata access ya kui download
Sitaki kuiangalia YouTube
Mwenye nayo yote naombaa ama nielekeze nitaipata vipi
Na...
Kuna kipindi yaliwahi kutokea maneno kwamba Tanzania tunaitafuta sound yetu, kwamba ngoma ikipigwa tu unajua hii ni Bongo, Tanzania.
Nimepata muda usiku huu kwenda YouTube kuziona trends, guys...
Wadau napenda sana nyimbo zilizokusanya watoto na kuitikia chorus, mara nyingi nyimbo huwa nzuri sana. Mfano ni kama hizi;
1. I'm a thug ya Trick Daddy
2. I can ya Nas
3. Fabulous ya Jaheim
4...
MAISHA YANGU NYUMA YA PAZIA JEUSI.
SEHEMU YA KWANZA.
Mtunzi & Mwandishi: Stephen Chelu
Utangulizi:
Simulizi hii imejengwa kwa kutumia matukio halisi na ya kufikirika ili kuleta mvuto zaidi kwa...
Wale wapenzi wa burudani nawaletea filamu zilizochezwa vizuri na wasanii wa hipop (rappers)
Tuanze kutililika[emoji94]
[emoji419]2pac:juice
[emoji419]Ice cube:boyz N the wood
[emoji419]Dmx:belly...