Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

TUNGO: Hatima ya ujinga wake MTUNZI: Bux the passionate lover MWANDISHI: Bux the story teller MWANZO Furaha ilikuwa sehemu ya historia ya wapenzi wawili kwenye maisha yao, walikuwa wanaingia...
1 Reactions
20 Replies
7K Views
Hello kuna watu walikuwa wanatafuta sana wimbo wa John Komba ulioimbwa wakati wa mazishi ya Nyerere, "Taifa lahuzunika" huu apa nimeupata, naomba usishau kuSUSCRIBE channel kwa Mengi zaidi.
20 Reactions
81 Replies
33K Views
Habari wakuu! Natanguliza shukrani wa wadau na wapenzi wa nyimbo za zamani (zilipendwa),naombeni msaada wa kujua jina la wimbo na wa/mwimbaji kwa kuwa msanii aliyeimba simjui wala jina halisi la...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Kwa wajuzi mtu akiweza kuutambua kwa jinsi ntavyokua najaribu kuufanya aujue kuna elfu 20 yake
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Hii ngoma nimeiweka kama alarm song naamshwa na mtoto zuchu sauti laainiiiiiiii 😋😋.Kula ngoma iyo acheni kunifanya wagumu😂
0 Reactions
6 Replies
623 Views
Baada ya marehemu Steven Kanumba kufa Bongo movie ilipoteza mvuto wake. Ikapoteza ubora wake kwasababu ambao walibaki walishindwa kwenda na ubora ule ule marehemu Kanumba alikuwa nao. Ndo kitu...
4 Reactions
50 Replies
6K Views
Kwa alie na space movies kali asisite kutupia jina la movie hiyo, ili tujifariji wapenzi wa movie hizo kipindi hichi Cha karantini.. Sifa zisiwe na uongo mwingiiii.. hiyo ni kwangu binafsi ila...
0 Reactions
38 Replies
7K Views
Wakuu mko powa... Mim ni mpenzi wa yale mangoma ya enzi hizooo,, Makundi kama The Temptations, Cool & the gang basi nikisikia vibao kama Treat her like a lady, dady cool, don't let it till...
8 Reactions
142 Replies
17K Views
Habari?? Wakuu wapi naweza kuipata hii movie ya James Bond live and let die. Mweny link au mweny nayo kweny device yake msaada.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekuwa mfatiliaji wa filamu hizo mbili, yaani fast & furious na mission impossible. 👉Na niseme pande zote mbili zimekuwa zikijitahidi kuwasiliana kazi iliyo bora zaidi. Vin Diesel vs Tom...
10 Reactions
220 Replies
9K Views
Sehemu ya 01 Mtunzi Irene Mbowe Kama kuna vitu wanawake hawaaamini ama hatuamini ni mume kukosa mchepuko. Yanii hii sijui utaniambiaje niamini. Akili yangu inaamini kabisa mr anachepuka. Sio...
21 Reactions
355 Replies
68K Views
Habari wakuu,kwa wale wapenda muvi za kila wiki la jumatatu hasa wale Wenye ofisi za library na wanaopenda kutazama au wanaofuatilia muvi za kila jumatatu za 1.kihindi series 2.Korea drama...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Simulizi: Ni mwanaume nilie tambulika mwanamke “Kho! Kho! Mmh!” inanibidi nikohoe kidogo maana sina kipaji cha kusimulia ila nitajitahidi maana nahitaji kuwafunza mambo mengi. Nimetumia muda...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Gene (illustrator na Comic artist) ni moja ya watu walifanya utoto wa watu wengi kuwa na raha kwa namna yake. Mchoraji huyu na Director wa Tom and Jerry ambao majina yao halisi ni Jasper na Jinx...
7 Reactions
91 Replies
3K Views
Mtunzi: Nyemo Chilongani Treni ilisimama mwisho wa reli, mkoani Kigoma ambayo ilianza safari yake ya kuelekea huko siku mbili zilizopita kutoka jijini Dar es Salaam. Wenyeji waliofika mahali...
11 Reactions
550 Replies
90K Views
RIWAYA: MKOLONI MZAWA—2 MTUNZI: HASSAN MBONECHE SEHEMU YA 03. ROMA, ITALY. Ulikuwa ni usiku. Kamishna wa intellijensia Barabara Ndirimwe alivyokutana na vijana wa PSU, ambao kwa wakati huo...
4 Reactions
121 Replies
23K Views
PONGEZI
2 Reactions
3 Replies
700 Views
Habari jukwaani kwa wawafatiliaji wa movie za aliens sizani kama Kuna movie Bora kuizidi invasion ambayo iko season two episode ya 7 week hii ubora wake ni 1. kwanza Aliens hawajavamia america tu...
1 Reactions
0 Replies
654 Views
Original version ilifanywa na Zac Efron na Zendaya mwaka 2017 kwa ajiri ya movies ikienda kwa jina la The Greatest Showman. Baadaye James Arthur na Anne-Marie walifanya cover yake.Mimi kila...
1 Reactions
0 Replies
913 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…